Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Kwakweli aisee....hazijakuua ili tufaidi story zako...ishi sana kaka...unaandika mpk na sisi tunajihisi kama tupo ndani ya story..
Nashukuru kwa appreciation mtani. Hearing this from you, it means a lot πŸ™πŸ™
 
Kwenye hiyo ngoma mlikoenda hamkupiga picha baba Husna, tuone shati la batiki lilivyokuogesha 🀣🀣🀣🀣
Hata zingekuwepo nisingekubali kupiga. Kwanza yule Mama ambae nilivaa shati la mumeww, kila muda alikuwa anakuja kuniangalia. Sasa sijui alihisi nitalichafua au vipi
 
We mjinga umefanya nimecheka sana πŸ˜‚πŸ˜‚
Shati halina vigungo si kijora njiwa iko?!!

Wakati naisoma kabla sijafika ulipoelezea muonekano wake tyr nilijua ni bonge halafu jeusi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilivyofika iko kipengele utabiri wangu ukatiki nilicheka sana’aa.!!

Hii story yako imenivunja mbavu
 
Kwanza rangi yenyewe ilikuwa mbaya, nyeupe na dhambarau. Alafu nimelivaa juu ya t shirt yangu. Hata kwa bunduki wasingeweza kunipiga picha
 
Back
Top Bottom