Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Wangoni sisi ni Waaatu!!
Nina Mzee Moyo mwingine ofisini kwetu.

Katika binadamu wastaaarabu niliwahi kuwajua duniani ni huyu Babu.
He is such a Gem.
Anayajua maisha kuliko maisha tunayoyajua.
Ulipata trip na Mzee Moyo ukienda una moja ukirudi una matatu.
 
Unafanya siku yangu inakuwa burudani sana! Baada ya mazoezi natulia nasoma then usingizi basi siku inakuwa burudani, UBARIKIWE SANA MKUU๐Ÿ™๐Ÿผ
 
 
Mwenyekiti natambua uwepo wako๐Ÿ˜ Mahondaw
Forever and always katibuuu weekend nilikua nimetingwa ndio nazisoma mfululizo kuanzia ya 13 mpaka 17 saiii hahaha!
Nimefurahi sana kukuta story ya mzee KY wakiendeleza kutafutana na apisto๐Ÿ˜๐Ÿ˜Š,!
Mzee nuksii sana yuleee

Cc Smart911
 
Jirani Inabidi sasa ufanye mpango ulete na wakike kama wawili hivi ๐Ÿ˜Ž
 
Pamoja sana mkuu ๐Ÿ‘Š
 
Kuna watu ukifanikiwa kuwa karibu yao unajifunza mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ