Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshua anamikwara sana ππAina noma mkuu π
ππ asee ila unakipaji sana mkuu, wewe ni bingwa kwenye nyanja ya masimulizi aseeπAtakuwa amepumzika muda huu, usimchokoze π
Haina noma mkuu, shukrani maana tumepata hata hii πHapa kwenye najitahidi, ila nipo tight sana yani
Duuh kuna chimbo nadhani kasotea πMbona yupo tuπ
Hahaaa! Hata ikiwa kweli hakuna baya mkuu maisha ndio haya haya πYani huyo ni rafiki yangu sna ,mpaka kuna watu wahisi ni mtu wanguπππ
π€π€πππ
Unyama sna , kuna stories ile ya jeshi nahis 100% ni wewe ulimwandikia ephen ila mimi sio nabiiπ π πPamoja sana mkuu π
me baba akitaka kufanya maamuzi ya roho mbayambaya ndio ananitumia sasa ananiacha hoi mi nkishafanya yangu ye anarud kuomba fairMshua wangu ni mtata by nature yani π