Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Mshua: "Nani kakupa hiyo haki? Nisikilize bwana mdogo, wewe na yeye msingejuana bila Mimi kuwaunganisha. Sasa usijifanye unamjua sana. Kuanzia leo ukitaka kuwasiliana na mke wangu pitisha ujumbe kwangu. Sasa ole wako nikute umempigia simu, tena ikiwezekana na namba yake futa kabisa. Utaisave tena pindi na Mimi nikiwa na namba ya mke wako
 
Back
Top Bottom