Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Mkuu naheshimu kila kitu kutoka kwako ila nahisi kama kuna kitu kimenipungua na hicho ni uendelevu wa stori, bado stori ilikuwa inaendelea lakini imeishia kati, hakuna namna.
Nakuomba kwa heshima zote za pekee mkuu, angalau kwa wiki hata utuwekee portions mbili tu tuendelee kujifunza vitu kwenye simulizi hii.
 
Aposto mzee wa kujipakulia manyama asante kwa story nzuri sana, ubarikiwe kwa kutoa muda wako kutusimulia
Ndio maana Sipendi mtoli kwasababu wanasema nyama utazikuta chini. Napenda nyama zionekaneπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Pamoja sana jirani 😍
 
APOSTLE! AMPHIBIAN! BABA HUSNA! asante sana kwa burudani safi iliyojaa mafunzo tele. Mungu akubariki sana Mkuu na akujalie hapo mbeleni uje utuandikie tena. Best wishes
Pamoja sana kaka πŸ‘Š
 
Ratiba zimeingiliana mkuu. Kuna dalili nyingi kwamba ningeanza kukosa time ya kuandika na kupost. Ila sio mbaya, next time inshallah πŸ™
 
Tunashukuru sana Kwa muda wako na simulizi Yako. Mungu akubariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…