Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Story imeishia pazuri sana niliandika hiyo comment huku nasinzia ujue😅😅ningeandika mautumbo sijui ningeweka wapi ID yangu hiiNdio maana Sipendi mtoli kwasababu wanasema nyama utazikuta chini. Napenda nyama zionekane😅😅😅😅
Pamoja sana jirani 😍
Haya. Simulizi ilikuwa poa sana shukrani, ukileta simulizi nyingine naomba usiache kunitag.Sawa dada mkubwa 😊
Apostle, asante sana kwa simulizi. Wakati wote nimekuwa nikipendezwa na namna ya uandishi wako. Zaidi sana umekua ukiandika matukio halisi yaliyotokea kwenye maisha yako. Hakika inagusa na kupendeza sana.Sehemu yoyote yenye makosa ya kiuandishi, mniwie radhi. Mazingira niliyopo yako tight sana, nakosa utulivu
Naungana nawe kwamba alete kipande cha kumalizia haya mawili yaliyoningininia.Apostle, asante sana kwa simulizi. Wakati wote nimekuwa nikipendezwa na namna ya uandishi wako. Zaidi sana umekua ukiandika matukio halisi yaliyotokea kwenye maisha yako. Hakika inagusa na kupendeza sana.
Hata hivyo, kuna mambo machache kama ikikupendeza unaweza kuyaelezea japo kwa ufupi. Moja, ni namna mlivyomalizana na Trina, na la pili mlivyomalizana na Mzee KY kama alikutafuta kadri alivyoahidi.
Otherwise nakutakia kila la kheri katika mapambano ya maisha.
Naomba link yake mkuuTayari
Hakuna shida, ila ujiandae kutype sana. Maana sio mchezo [emoji28] [emoji28]
Aposto, Mr. B hakuwahi jua kwamba Ulikua unamla mwanae Kat?[emoji109][emoji109][emoji120][emoji120]