Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Nimeishia hapo kwa esta alikua kidato chatatu. Mnawaaribia maisha hawa watoto wa watu, pia huofii miaka 30 mkuu. Lakini sawa kupanga ni kuchagua.
 
Binadamu wanakawaida ya kuwahukumu wale wanaofanya dhambi tofauti na za kwao.
Nadhani ni choices tu mkuu sio hukumu.

High school niliyosoma ukichukua mtoto wa O' level unadharaulika. Kwa hiyo toka nitoke O' level sikuwahi hata kufikiria wala kutamani kwa sababu huwa nawaona ni watoto na hawajitambui.

Kwa upande mwingine mtu mwenye mtoto wa umri huo akisoma story kama hii lazma ajiskie hovyo na pengine utawaelewa muda ukifika mkuu πŸ™πŸ½

Ila story ni kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…