Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Aiseee naanza kuamini ule msemo kwamba mwanamke atakuvumilia ila siku akiamua kwamba imetosha ndio basi tena harudi nyuma, wanaume wengi sijui kwanini wanashindwa kuliona hili halafu mwisho wa siku wakija kuangukia kwa magumegume wanaanza kutukana wanawake wote, kumbe wanasahau kuwa walishapata wanawake wema ila wakachezea nafasi kwa kudhani wanapendwa hivyo watavumiliwa milele
 
Back
Top Bottom