Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Baada ya ile simulizi iliyopita kuondolewa jukwaani, niliahidi kuleta replacement yake. Baada ya kuangalia katika list ya ambazo nilishaanza kuandika, nimeona niweke hii.
Iliyoondolewa naiomba pm PLEASE
 
Portion 13:

.... Hakuna jambo zuri kama kufanya kitu unachopenda, maana kama ni kufurahia basi unafurahia to the maximum. Kuna watu huwa wanasema "sex iko overrated" sidhani kama wapo sahihi sana. Watu tunafurahia sex kwa viwango tofauti, ila kuna ambao wanaofurahia sana mapenzi. Watu wa aina hiyo ukiwaambia sex ni overrated wataishia kukushangaa tu.

Anyways, tuachane na ilo. Ule usiku ulipita vizuri pia. Asubuhi kama kawaida yake akawahi kwenda chumbani kwake. Mimi nikajiandaa na kwenda zangu job. Ilivyofika mida ya jioni, yule jirani akanitumia msg "Jirani nitakuwekea chakula, uje kula nyumbani leo"

Nikamjibu "Tutaangalia jirani, maana naweza kuchelewa kurudi".

Jirani: "Jitahidi uwahi kurudi jirani, huo mwili unahitaji kupumzishwa pia"

Analyse: "Poa jirani"

Lakini nikawa najishauri sana kuhusu ilo jambo. Yani nimetembea na demu wa jamaa, alaf bado pia na chakula chake nile, mbona kama dharau sana?. Ila nitamkwepaje yule jirani? Maana nikirudi lazima ajue.

Muda wa kutoka, nikajaribu kujizungusha sana ili nichelewe kurudi. Nikapitia sehemu ya kula kabisa, nikajisemea hata ikitokea jirani amenilazimisha sana kula, basi nitakula kidogo. Na ndivyo ilivyokuwa, maana nilivyorudi ghetto, akaniambia chakula changu kipo kinanisubiria. Nilivyotoka kuoga, nikakuta kaniwekea chakula kwenye meza yangu.

Nilikula chote kana kwamba sikuwa nimekula kabla ya kurudi home. Wakati namalizia kula, jirani akaingia ndani kwangu:

Jirani: "Inaonekana ulikuwa na njaa sana jirani, chakula bado kipo, nikuongezee?"

Analyse: "Hapana jirani, kimetosha. Chakula chenyewe nakulaga tu lakini hata hakina faida mwilini, maana sinenepi"

Jirani: "Na huwezi kunenepa jirani, mpaka utakapoacha kubeba mizigo isiyo size yako"

Analyse: "Mpaka naibeba, basi ujue naimudu"

Jirani: "Na kweli unaimudu. Vipi leo nije au nikuache upumzike jirani"

Analyse: "Leo niache nipumzike jirani"

Jirani: "Mmh ubaya huo jirani, hata kamoja kakulalia tu?"

Analyse: "Tufanye kesho jirani"

Jirani: "Tatizo akili yangu nilishaiandaa jirani. Basi ngoja nipeleke vyombo alafu nije. Leo sikai sana"

Akawa ametoka nje na vyombo. Nikabaki najiuliza, huyu ataniua sasa. Maana mzigo wenyewe mpaka kuupush natumia nguvu nyingi sana, alaf yeye anataka kila siku awe anakuja tu.

Nikiwa naendelea kujiuliza namkataa vipi, maana kiukweli nilikuwa nimechoka sana. Nikasikia geti limefunguliwa, nikahisi labda ni yule mpangaji ambaye tupo nae vyumba vya nyuma atakuwa amewahi kurudi. Maana yeye ni mtu wa tungi sana, na amekuwa na kawaida ya kurudi night kali. Ila nikamsikia jirani yangu anaongea "Karibu kipenzi, mbona ghafla bila taarifa?".

Nikachungulia nje, namuona mtani wangu amerudi. Moyo ukalia Pa! Inamaana kama angewahi au kuchelewa kidogo, basi alikuwa anamkuta mwanamke wake kwangu. Sikutaka kuimagine huo msala wake, maana jamaa alivyombishi na mahasira hasira, asingeniacha salama. Nikalock mlango wangu, nikalala. Sikutaka tena kuwa na movements za aina yoyote muda ule.

****** ******* ******* *******

Asubuhi palivyopambazuka, niliamka mapema nikawahi kwenye mishe zangu. Nilichomoka bila kuonana na yeyote, na hata nilivyorudi usiku hakuna niliyeonana nae.

Siku iliyofuata ndio nilionana na mtani wangu mida ya usiku wakati narudi:

Mtani: "Mutani kumbe upo, nikajua umehama tayari, maana pako kimya"

Analyse: "Nipo mtani, sema kuondoka ni asubuhi na kurudi ndio kama hivi"

Mtani: "Inabidi uoe sasa mtani, muji inabidi uchangamuke huu"

Analyse: "Akili yenyewe ya kuoa ni hii niliyonayo au nyingine?"

Jamaa akacheka:

Mtani: "Oa tu mutani, akili itakuwa humo humo ndani ya ndoa bwana"

Yule mwanamke wake nae akawa ametoka nje, akachangia kwenye mada yetu:

Jirani: "Ni kweli jirani inabidi uoe, na Mimi nipate mtu wa kupiga nae story hapa"

Analyse: "Naona mmeniamulia leo"

Mtani: "Kama huwezi kuoa kwasasa, basi kuwa kama Mimi, vuta mzigo uutulize nyumbani"

Jirani: "We nae usimfundishe mwenzako uhuni, ntaondoka hapa"

Wote tukacheka. Sikutaka kuendelea kuongea nao, nikaingia zangu ndani nikawaacha wapendanao wanaendeleza story za hapa na pale.

Ilipita kama wiki na nusu hivi. Kuna wik end moja nikiwa nafua pale nje, na wapangaji wengine wakiume pia walikuwa nje. Kasoro yule ambae ameoa aliyekuwa anaishi kwenye nyumba kubwa, yeye peke yake ndio hakuwepo. Mimi na yule mpangaji mwingine mtu wa tungi, tulikuwa tunafua, ila yule mtani wangu yeye alikuwa amekaa tu kwenye kitu anatupigisha story.

Kwenye story za hapa na pale, jamaa ndio akatwambia anatarajia kuondoka muda wowote maana gari yake imeshapakia mzigo, kuna vitu anamalizia kuweka sawa kisha aondoke.

Nilivyomaliza kufua, nikavaa na kwenda kuzurura.

Hiyo wiki niliendelea kuwa busy na mambo yangu. Mara zote nilizokuwa narudi jioni, mtani wangu niliendelea kumuona, ila sikuwahi kumuuliza chochote kuhusu safari yake, pia sikuwa na sababu ya kumuuliza.

Kuna siku nimelala zangu ghetto mida ya kama saa tano hivi, nikasikia mtu ananyonga kitasa cha mlango wangu. Nikajikausha, maana nilikuwa nachezea simu. Mara nikasikia yule jirani yangu ananiita, nikakausha. Aliendelea kuita, alaf pakawa kimya.

Zikapita kama dakika 4 au 5 hivi, simu yangu ikaanza kuita. Naangalia mpigaji ni yule jirani. Akili yangu ikaniambia jamaa yake atakuwa ameshaondoka, ila nikakausha kama vile nimelala. Alipiga mara mbili tu, kisha akaacha.

Asubuhi nikawahi kuondoka zangu, na wala sikumtafuta. Mida ya saa tatu asubuhi akanitumia msg "Kumbe ndio unadharau kiasi hicho?"

Analyse: "Kwanini unasema hivyo?"

Jirani: "Wewe ni wa kutonipokelea simu jana"

Analyse: "Nilikuwa nimeshalala jirani, niliziona asubuhi"

Jirani: "Leo naomba uwahi kurudi jirani, ninahamu sana na wewe"

Analyse: "Mbona kama unanitafutia matatizo jirani? Yaliyotokea yameshatokea, tuachane na hayo mambo"

Jirani: "Sasa hivi ndio unajua kuna matatizo?"

Sikumjibu.

Hiyo siku nilivyotoka job, nikapitia kula alaf badala ya kwenda ghetto nikalazimika kusubiria mpaka mida ya saa nne mechi za UEFA. Home nikarudi saa sita usiku baada ya mpira kuisha. Nikaoga na kulala bila buguza. Na asubuhi kulivyokucha nikaondoka mapema sana.

Mida ya mchana alinitumia msg kuniuliza nililala wapi jana, ila sikuijibu. Na nilivyotoka job, nikaamua kurudia utaratibu wangu wa jana. Baada ya mpira kuisha ndio nikarudi zangu ghetto.

Nikavua nguo, kisha nikaenda kuoga. Narudi zangu tena ghetto, namkuta jirani kajilaza kitandani kwangu, khanga yake kaiweka juu ya meza, yuko uchi tu pale. Nikabaki nimesimama pale mlangoni

Jirani: "Unakaribisha mbu jirani, ingia ndani"

Sikumjibu kitu. Akajigeuza na kulalia tumbo, mguu mmoja akanyoosha, mwingine akaukunja alafu akaniambia "Kama hunitaki humu ndani, niambie nitoke"

Pia sikumjibu kitu. Akanyanyuka na kusogea nilipokuwa "Jirani unajifanya hutaki huku unataka. Kuna watu wanatamani wapate hata nafasi ya kunishika mkono tu, alafu wewe unaleta pozi"

Analyse: "Hiyo nafasi ameshaipata mtani wangu, ndio maana upo nae"

Jirani: "Kwahiyo unataka kuniambia nini?"

Analyse: "Tulia na jamaa yako, sitaki matatizo"

Jirani: "Kwani wewe ndio utakuwa wa kwanza kupata matatizo?. Mwanaume mzima unakuwa muoga, hebu acha maneno mengi ili upate vitu vizuri jirani"

Analyse: "Sivitaku hivyo vitu vizuri, hebu niache nipumzike"

Jirani: "Ungekuwa huvitaki ungesimamisha jirani?. Kwanini ujitese wakati nipo mbele yako hapa, sogea basi"

Kabla hata sijamjibu, akapiga magoti akalitoa taulo nililokuwa nimejifunga. Akachukua kobilo na kujiwekea mdomoni. Sikupata tena ujasiri wa kuendelea kumbishia. Naanzia wapi sasa?

Sijui alikuwa ametoka kunywa chai au maji ya moto, maana ulimi wake ulikuwa na joto kali sana. Alikuwa ananyonya mashine hadi nikapatwa na goosebumps.

Kuna muda nikajikuta ananizidia, maana nilianza kupatwa na ile hali ya kumwaga. Ikabidi nimzuie asiendelee. Akataka kwenda kitandani, nikamuelekeza aende mezani. Kufika pale akalalia mgongo, nikamnyanyua ile miguu yote miwili, nikazamisha kobilo, shoo ikaanza.

Tulivyomaliza, ikabidi nirudi bafuni kuoga, yeye akaenda ndani kwake. Nilivyotoka kuoga, nakuta kanitumia msg "Sasa jirani hivi vitu ndio ulitaka kuninyima kweli?"

Sikumjibu kitu, nikalala.

Palivyokucha niliendelea na mishe zangu kama kawaida, ila kila nikimuwaza jirani yangu, kuna kitu kama shoti kinanitembea kwenye uti wa mgongo.

Siku hiyo niliwahi kurudi home tofauti na siku mbili zilizopita. Sikuona tena haja ya kujichelewesha, maana nilichokuwa nakikwepa, tayari kishanikumba. Mida ya saa tatu jirani akanitumia msg niende kule kwao. Nikagoma.

Akawa analalamika kwamba huku kwangu usumbufu unakuwa mwingi, heri ya kule kwao tukimaliza tunaoga humo humo. Wao vyumba vyao vilikuwa tofauti, walikuwa na vyumba viwili, alafu kimoja ni master. Mara zote ilikuwa tukimaliza shoo, lazima atoke aende kwake kujisafisha.

Nikaona sio kesi, nikamwambia nitaenda. Mida ya saa nne nikawa nimeenda. Lock , milango alaf tukaanzisha vistori vya hapa na pale. Tulipiga story mpaka kwenye mida ya saa tano hivi, alaf ndio tukaanza shughuli ya kilichonipeleka. Yani kabla hata sijaingiza mashine, tukasikia mlango unagongwa. Ikabidi nimuulize jirani yangu, atakuwa nani huyo?. Na yeye anasema hajui. Nikamwambia atoke aende kuangalia. Alivyotoka, Mimi huku chumbani nikajifungia kwa ndani, alafu nikabana pale mlangoni nasikilizia kinachoendelea sebuleni, maana akili ilashaanza kuvurugika. Alivyofungua tu mlango wa sebuleni, mtani alimpokea kwa pupa, nikamsikia jirani yangu analia kuomba msaada.

Kule chumbani nikajisemea, "nimeisha"..

Baada ya hapo mtani akahamia kwenye mlango wa chumbani na kuanza kuniambia "Mutani fungua mulango, najua upo ndani Mutani". Nikakausha. Muda huo jirani yangu alivyoachiwa nilimsikia anakimbilia nje, ila sikuhangaika kujua atakuwa ameenda wapi.

Mtani akaanza kuupiga ule mlango kama anataka kuuvunja. Alikuwa anaupiga na kitu kama panga au nondo.

Mtani: "Mutani nimesema fungua mulango tuzungumuze"

Mimi nipo kimya tu kule chumbani, kwani kuzungumza ni lazima mlango ufunguliwe?. Kila nikiangalia namna ya kujinasua sioni. Tukijenga nyumba huwa tunajaribu kuweka uimara wa kuzuia wezi nje wasije kuingia ndani, ila hatujawahi fikiria kwamba kuna siku tutakuwa ndani alafu tutakiwe kutoka nje, hasa kwa njia zisizo rasmi kama dirisha. Aisee madirisha ya ile nyumba yalikuwa na nondo nene sijawahi kuziona popote. Kule sebuleni nikamsikia mtani anaongea na simu:

"Kasimu naomba uje hapa nyumbani haraka, nimejaribu kumupigia Mogadishu simupati.... Punguza maswali kaka, ukifika nitakwambia, ila mupitie Moga pale masikani kwake muje naye".

Akili ikaanza kuzunguka kwa kasi, wakishakuwa wengi hapa nimeisha. Kama huyu peke yake siwezi kummudu, itakuwaje wakishakuwa wengi? Nikajaribu kuangalia kwenye ceiling board nione kama patakuwa na upenyo wowote, ila pako tight. Kule sebuleni mtani ndio kwanza anazidi kuwaita wenzake.

Mtani: "Nimesema bila Moga musije, hakikisha unamupata. Kama hayupo kwake, kamucheki gereji kwa White pale. Ukimukosa njoo na Pati""

Akili ikaniambia huyo Mogadishu ambaye anasisitiziwa kuja, kama akifika basi shughuli imeisha, maana ilo jina haliwezi kuwa la balozi au mwenyekiti wa serikali ya mtaa. Nikajaribu kupanda dirishani, alafu nikawa napush ceiling board kwa juu ili nione kama linaweza kupachuka nipate upenyo. Mtani alivyonisikia napiga piga vitu kule chumbani, nae akazidisha kupiga mlango.

Muda huo kobilo imenywea kinoma, siku ile ndio nilijua kumbe kuna muda pumbu zinaizidi kobilo urefu. Huwa tunawalaumu mbwa na kuwaita Koko kisa kwenye hatari wakiwa mbali na nyumba zao huwa wanafyata mikia kwa uoga, kumbe hata sisi huwa tunafyata mikia yetu sema ni vile haipo hadharani. Ile siku na Mimi nilifyata mkia wangu aisee.

Ni rahisi kusimulia, ila haikuwa rahisi wakati ule wa tukio. Pale juu kwenye ceiling board na penyewe pakawa pagumu, nikajikuta naanguka mzima mzima mpaka juu ya stand ya viatu, pia nikajibamiza kwenye mlango wa kabati, nikapasua kioo.

Mtani: "We mu$enge huko ndani umevunja nini? Unajua mutani nitakuua?. Ohoo"

Sikuwa na hamu ya kupanda tena kule juu. Mara Kasimu akampigia simu mtani na kumtaarifu amewapata Moga na Pati, aje na yupi?. Mtani akamwambia aje nao wote. Nilikuwa natokwa na jasho kama maji, ila baada kusikia ile kauli ghafla nikaanza kuhisi baridi....

** **

Soma muendelezo hapa: Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri
We mu$enge hujaliwa kiboga kweli? 😂😂😂

Mutani kawaita Mogadishu, hao ni Alshabab aposto jiandae 🤣🤣🤣
 
Haaa haaa haaa kaka maisha yako yanakaribiana na yangu, visa vyako vingi 80% vimenitokea. Kipindi fulani nilikuwa kuruta jkt oljoro sasa nikawa na dem huko Dar mitaa ya Mlalakuwa, nikapata likizo (pass) ya siku 7 kuja nyumbani nikasema hizi siku nitumie mojawapo kukutana na mshangazi wangu hapo Mlalakuwa Mwenge, siku hiyo nimeenda kukutana nae kwake usiku nikapiga mzigo kama nawakilisha chama na serikali, mida ya saa 7 usiku mlango unagongwa, shangazi kwenda kufungua kakutana na bwana wake, dem akasepa. Ndani nikabaki mimi chumbani na jamaa sebleni. Akawapigia askari wenzie simu wakaja wakagonga wee me kimya nikasema kama kuniua au kunifira waje tu wanifirie ndani kitandani ila sebleni sitoki. Jamaa wakavunja mlango, kunikamata jamaa mwenye mke kumuangalia kumbe ndio yule afande wangu aliyenipa pass kambini, afande ikabidi awe mpole miksa na mimi kujitetea akawaambia wenzie dogo mtu poa sana huyu namjua tumuache, nikavaa nguo nikasepa ndio ikawa pona yangu. Kurudi kambini ndio afande kunipa story kuhusu yule mwanamke wake ambaye mimi ndio alikuwa mshangazi wangu kipindi hicho
Eti wakufanyaje kitandani 🤣🤣🤣
 
Portion 01:

Here We Go!

....Kwa upande wangu ni miongoni mwa wale watu wanaoamini maisha ni popote hivyo ni kawaida sana ukisikia naishi kijijini ndani ndani kabisa, cha msingi niwe naingiza hela. Kutokana na hiyo mentality, nimejikuta naishi sehemu nyingi sana hapa Tanzania.

Moja kati ya harakati zangu ilinikuta Kijiji kimoja kinaitwa Ifwagi kinapatikana wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa. Kule nilikuwa nafanya kazi za kuchana mbao, kuzipiga dawa, kuzipanga nk. Kwavile maisha yangu yalikuwa kule, niliamua kutafuta chumba cha kupanga ili walau niwe na sehemu ya nzuri ya kulala.

Maisha ya kijijini ni rahisi sana chumba Kodi ni 15k kwa mwezi, nikajipanga mdogo mdogo ndani ya muda mchache ghetto langu likawa full. Nikaanza maisha kama mwanakijiji tu.

Nikiwa kama na miezi sita hivi, kuna binti wa maeneo ya jirani na nilipokuwa nafanyia kazi aliitwa Ester akaanza kuwa na mazoea na Mimi. Kipindi icho alikuwa kidato cha tatu mwishoni. Ester alikuwa anaishi na Bibi yake mzaa Baba, kwao maisha yalikuwa ya kawaida tu. Bibi yake alikuwa na mgahawa, na ndiye aliyekuwa anatuuzia chakula. Hata Ester nilimuona kwa mara ya kwanza kwenye mgahawa wa bibi yake.

Mazoea kati yetu yalipozidi nikamuomba namba, tukawa na uwezo wa kuwasiliana hata kama hayupo mgahawani. Tukawa ni watu tunaoweza chat kwa muda mrefu sana, japo hatukuwa wapenzi na sikuwa nimemtongoza.

Siku moja nikiwa zangu ghetto, tulichat chat, then nikawa nimemwambia kama yuko free aje ghetto. Akasema kuna kazi anamalizia, kisha akiweza kuja ataniambia.

Sheria yangu ni moja, huwezi kunitembelea alafu nikuache uende. Kama ukiwa period, basi nitashika hata ziwa.

Mida ya saa kumi Ester akanitext kwamba anakuja.

Alivyofika, story za hapa na pale. Nikaset mazingira, akajaa. Harakati zikaanza. Baada ya kama nusu saa, tayari nguo zake zote zilikuwa pembeni. Ila cha ajabu kila nikianza kuzamisha mashine, Ikiingia kidogo tu, ananizuia. Kuna muda niliona anazingua, nikaamua kutumia nguvu.

Yeye pia akaamua kuresist kwa nguvu, ikawa sasa kama tunapigana. Nakumbuka katika zile purukushani, alining'ata shingoni hadi nikahisi nakata moto, ikabidi nimuache kwanza.

Ikabidi nimuulize "Una ngoma?". Akanijibu yeye ni bikra. Nikamwambia vaa uende kwenu, maana pale tungezidi kupotezeana muda, alaf ni mwanafunzi, nikiambiwa nimebaka itakuwa imekula kwangu.

Akavaa na kusepa.

Alivyofika home kwao akaanza kuomba msamaha kwamba alikuwa anaumia ndio maana alikuwa ananizuia, hivyo nisimchukulie vibaya. Nikaamua kumpotezea.

Tokea siku hiyo hata ile kasi ya kuchat nae ikapungua. Nikaamua kukomaa na magume gume yangu tu, maswala ya unaenda kusex na mtu anakung'ata siyawezi.

Akawa analalamika kwamba amemuona fulani anatoka chumbani kwangu, mara siku hizi sina muda nae nk. Jibu langu likawa moja tu, akomae na shule,muda wake utafika.

Kuna siku akaniambia amesikia wanafunzi wenzake wanasema kama akimeza Panadol kabla ya sex maumivu hayatokuwa makali. Nikamjibu yeah ni kweli, ameze Panadol kisha aje. Akasema sawa.

Siku hiyo alivyoniambia anakuja, mashine nikaipaka mafuta ya nazi alafu nikavaa nguo, nikatulia tuli. Alivyokuja wala sikumpa muda wa kunisumbua, uwanja ukazinduliwa rasmi.

Tokea pale mahusiano yakashamiri.

Ester alitokea kunielewa sana, na kadiri siku zilivyoenda ndivyo alivyozidi kunielewa. Alikuwa anapenda sana kuniuliza kuhusu nilipotoka, alipenda kujua mipango yangu nk. Kiufupi story zake zilikuwa ni tofauti kabisa na umri wake au wasichana wengi wa umri wake.

Siku moja tukiwa ghetto ikabidi na Mimi nitake kujua kuhusu yeye zaidi.

Kulingana na maelezo yake, baba yake anamjua kwa picha tu. Hata kuongea nae ni mara chache sana, na hapo ni mpaka yeye Ester ampigie.

Baba yake ni mzaliwa wa kule Mufindi, ila kuna kipindi alikuwa anaishi Tanga (Mzee wake ni mwanajeshi). Kipindi akiwa Tanga, ndipo alipokutana na Mama yake Ester, akampa mimba alafu akaondoka maana alihamishiwa Arusha. Na alipoambiwa habari za mimba, aliikataa.

Mama yake Ester baada ya kujifungua aliishi na Ester mpaka alipomaliza darasa la Saba ndipo akampeleka kwa Bibi yake. Kabla hajampeleka, aliwasiliana na Baba yake Ester , ila mshua bado aliendelea kumkataa kwamba sio mtoto wake. Bibi (Mama yake na Baba Ester) aliposikia tetesi za kijana wake kuacha mtoto kule Tanga, ikabidi afunge safari mpaka kule ili kujiridhisha. Alipomuona Ester kwa mara ya kwanza, Wala hakuhitaji maelezo yoyote toka kwa mwanae, maana binti alifanana sana na baba yake.

Hapo ndipo alipomuomba Mama Ester kama atakubali, basi amchukue akaishi nae. Kutokana na maisha yake hayakuwa mazuri, mama Ester alikubali. Hapo ndio Ester akatoka Tanga na kwenda kuishi Mufindi.

Ester akaniambia familia yote ya baba yake kila wakimuona wanasema kabisa huyu ni damu yao, ila ajabu Baba yake bado hakumkubali.

Ester: "Unajua kwanini nakupenda sana?"

Mimi: "Sijui"

Ester: "Moyo wangu umetokea kukuamini sana. Naamini kwako nipo sehemu sahihi"

Mimi: "Kipi kimekufanya unaamini?"

Ester: "Hata sijui kwa kweli, ila nakuamini sana"

Ikabidi nibaki kimya tu, sikuwa na mipango yoyote na yeye. Niliyachukulia ni kama mahusiano mengine tu ya kawaida. Sikutaka kumdisappoint, hivyo sikuweza kumuambia ninachowaza. Nilikuwa na Imani maneno anayoyaongea ni kutokana na umri wake bado mdogo, mbeleni akili yake ingejanjaruka na kupata wadau wengine alafu Mimi na yeye tutemane.

Mimi niliwaza hivyo, ila yeye aliwaza vingine. Ambacho sikujua ni kwamba yeye aliona vitu ambavyo Mimi sikuviona hapo kabla. Tena aliviona kwa namna ambayo Mimi sikuwahi kuvifikiria, japo Mimi ndio nilikuwa mkubwa kwake kwa miaka 6+

Soma next portion hapa: Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri
magazeti kama haya siku zote huwa ni porojooo tu
 
Portion 15.

.... Hazikupita hata siku nyingi, nikaanza kuziona dalili za ile hela niliyotengewa.

Nilikamatwa na polisi mida ya jioni siku ya jumapili nikiwa natoka uwanjani kuangalia mpira. Ilikuwa ni mida ya saa 12 hiv, sina ili wala lile, gari ya doria ikapaki mbele yangu. Sikuwa na wasiwasi wowote, ila nikashangaa nashikwa na kupakiwa ndani ya gari. Nikajaribu kuhoji, nikaishia kupigwa kofi, nikatulia.

Nilikaa kituoni mpaka jumanne nilivyokuja kutolewa na jamaa zangu niliowacheki. Ikanitoka elfu 50, japo niliachiwa ila bado sikuwa najua kosa langu. Nikachukulia simple tu. Hazikupita hata siku tatu, nikashikwa tena na polisi. Yani ndani ya miezi miwili, niliingia pale buguruni na Tabata kama mara 5 au 6. Na zote lazima hela initoke. Hii mara ya sita, ndio kuna afande wakati natoka akanichana; "Mdogo wangu, fanya mpango umalizane na yule Mzee vinginevyo kila wiki utakuwa unahudhuria hapa kituoni"

Nikajaribu kumuuliza ni Mzee gani huyo?. Ila hakutaka kuendelea kuongelea ilo swala. Baada ya kufikiria sana, akili ikaniambia atakuwa Mzee KY tu, hakuna mwingine. Nilijikuta napatwa na hasira sana. Nikajaribu kumtafuta kwenye simu, lakini hakupatikana.

Hazikupita siku mbili tokea niachiwe, nikashikwa tena. Yani ni kama vile wale askari waliambiwa kila wakinishika kuna hela wanapewa. Na kwanza sijui hata walikuwa wananipataje wale jamaa.

Walivyonishika safari hii, nikajaribu kuwapa hela ili nisifike kituoni ila wakagoma hela ndogo. Nilishazoea kila wakinishika nawaachia 20 au 30, sasa siku hiyo wakagoma kabisa kupokea 30. Mpaka tunakaribia kituoni, bado wamegoma. Walipoona kweli sina nyingine, wakaamua kuipokea kisha wakaniambia nishuke.

Wakati nimeshashuka, nikamuona Mtani wangu alikuwa anatokea upande kilipo kituo cha polisi anakuja kwangu. Tukakutanisha macho, akili ikaniambia nikimbie ila nikaipinga, maana yule jamaa kwa akili zake anaweza akaniitia mwizi. Bila kupenda ikabidi nirudi ndani ya lile gari la polisi. Wale askari wakaanza kucheka. Mtani baada ya kuona nimeingia ndani ya gari, akaamua kuondoka maana askari walikuwa wanamtolea macho waone atafanya nini.

Alivyoondoka nikataka kushuka, askari wakagoma mpaka nitoe hela. Nikajaribu kuwaambia si nimewapa 30 muda sio mrefu?. Wakaniambia ile iliisha niliposhuka, ila baada ya kuingia tena kwenye gari yao, natakiwa kulipia tena maana mle sio sehemu ya kujificha. Nilikuwa na elfu 5 ikabidi niwape hiyo.

Kushoto yupo Mzee KY, kulia yupo Mtani. Nilikuwa naishi kwa wasiwasi na stress sana kile kipindi. Hapo ndio nikaanzisha utaratibu wa kuwa naenda kushinda beach. Naenda zangu misele kutafuta michongo, alafu mida ya mchana naenda zangu beach kushangaa shangaa warembo na kupoteza muda. Nikichoka beach hii, naenda nyingine ilimradi nipoteze muda.

Niliendelea na hiyo ratiba mpaka siku ile nilivyokutana na Evervess pale Rongoni (sorry hii ndio story iliyoondelewa jukwaani)

Ile siku nilivyoachana na Evervess pale beach, siku kadhaa mbele nilishikwa tena na polisi. Nilivyoachiwa, wakati nipo ghetto mida ya jioni nikapigiwa simu na namba ngeni. Kuipokea ndio nagundua ni Evervess.

Evervess: "Dogo niaje?"

Analyse: "Fresh broh, niaje?"

Evervess: "Sasa sikia, kuna mchongo nataka nikuunganishe. Upo tayari kusafiri safiri mikoani?"

Analyse: "Niko tayari, nipe maelekezo"

Akanielekeza sehemu ya kwenda na mtu wa kwenda kuonana nae. Nilivyofika pale, ikawa ni ofisi ambayo inahusisha kusafiri sana, nikaulizwa lini nitaweza kuanza kazi. Kwa namna nilivyokuwa nimechoka na hizi mbilinge za Dar, sikujiuliza mara mbili. Nikawaambia nipo tayari muda wowote.

Nikapangiwa kuanza kazi kesho yake, na baada ya wiki nikasafiri.

Hii kazi ilinisaidia kunirudishia amani ambayo nilikuwa nimeipoteza kwa muda mrefu sasa. Sikutarajia kama Evervess angeweza kuja kuwa na umuhimu kwangu, ila baada ya kuniunganisha na hii kazi nilianza kumpa umuhimu. Kwenye trip yangu ya kwanza, nikajaribu kumpigia simu walau nimshukuru, ila namba yake haikupatikana. Na hata nilivyoendelea kujaribu, jibu nililopata ilikuwa "Hakikisha namba unayoipiga, na upige tena"

Kwa miezi miwili mfululizo, nikawa mtu wa kusafiri tu. Leo nipo mkoa huu, kesho ule. Na ikitokea nimerudi Dar, basi muda mwingi nilikuwa nazima simu au sitoki nje kabisa.

Lakini pamoja na jitihada zangu zote hizo za kujaribu kusahau my past life na ku-move on, ila my past bado iliendelea kuniandama. Kuna siku nilikutana tena na Mtani wangu, bahati.mbaya kwangu yeye ndio alianza kuniona. Alinishtukiza na ngumi ya kifua, kiasi kwamba nikawa nahisi pumzi ninayotoa ni ya moto, maana hadi pua zilikuwa zinauma. Kuna watu mapenzi wanayachukulia serious sana, huyu mtani nae ni mmoja wao. Miaka inaenda lakini jamaa bado kiwango chake cha hasira kipo vile vile. Ile siku nilikuwa nimebeba mali za ofisi pia, kutokana na ile purukushani, nikajikuta nasababisha uharibifu.

Ile hasara ofisini hawakuielewa, hivyo nikaibeba Mimi. Sijakaa sawa, polisi nao hawa hapa. Nilijaribu sana kuwapa hela, ila ni kama waliambiwa wasipokee chochote toka kwangu, nikawekwa ndani. Kipindi kule ofisini nasubiriwa ili niweze kusafiri, kumbe mwenzao nipo polisi. Baadae sana ndio wakaja kujua nilipo, wakanitoa nilivyorudi uraiani wakanipiga benchi kwa muda. Zile stress za mwanzo zikarudi tena, kushoto Mzee KY, kulia yupo Mtani.

Nikajaribu sana kumpigia Evervess, lengo ikiwa ni kuona kama anaweza kunirekebishia tena kule ofisini. Ila kila nikipiga namba yake, naambiwa haipo hewani. Kuna siku nimekaa ghetto nikiwa sina ramani yoyote, nikapigiwa na namba ngeni. Kupokea nakuta ni Evervess;

Analyse: "Niaje broh?"

Evervess: "Fresh tu, imekuwaje tena? Maana nasikia umeharibu pale ofisini".

Ikabidi nimueleze kwa urefu hali halisi ilivyo, kisha nikaomba msaada wake:

Evervess: "Sikia mdogo wangu, chochote unachofanya basi jua kitaleta matokeo mbeleni, yawe mazuri au mabaya. Yanayokutokea sasa, ni matokeo ya uliyokuwa unafanya, huna wa kumlaumu"

Analyse: "Ni kweli sina wa kumlaumu, na siwezi kumlaumu yeyote. Ninachohitaji ni msaada wa kutoka kwenye hii situation ili nianze upya"

Evervess: "Huwezi kuingia kwenye jambo, alafu utegemee wengine wakutoe. Inabidi utafute namna ya kujitoa"

Analyse: "Mpaka hapa nimeshajaribu sana, ila nimeshindwa"

Evervess: "Kila mtu ana ya kwake yanayomsumbua. Nani atakuwa busy na ya kwako?"

Nikabaki kimya;

Evervess: "Ukiweza kujitoa kwenye ili, utapata funzo. Na usipokuwa makini, utapoteza vitu vingi sana. Kwahiyo kuwa makini"

Analyse: "Ila broh...."

Evervess: "Ulitaka kazi, nikakuunganisha sehemu. Sipo kwa ajili ya kusawazisha makosa yako. Na hakuna anayeweza kuyasawazisha zaidi yako wewe mwenyewe. Tafuta namna"

Maongezi yetu yaliishia pale. Na hiyo namba haikupatikana tena. Sio baada ya siku, wiki au miezi.

Baada ya kutafakari sana, nikamkumbuka yule Mzee wa Kongowe (refer kwenye story yangu iliyopita). Nikaamua kumpigia simu, japo sikuwa na uhakika kama angeweza kufanya chochote.

Nilimpata kwenye simu, akaniambia kesho yake nimtafute ili tuweze kuonana.

***** ******* ******** ******

Kesho yake mida ya jioni tukafanikiwa kuonana. Tuliongea mambo mengi sana, na hiyo ni baada ya kumuelezea ombi la kutafuta mchongo popote pale ili mradi nisiwe idle.

Akaniuliza kama naweza ishi nje ya Dar. Jibu langu ilikuwa naweza kuishi popote pale. Mwisho wa siku akaniambia ngoja afanye mawasiliano na watu kadhaa alafu ataniambia.

Nikawa nashinda ndani kama mwali, na hata nikitoka nje basi simu naacha. Baada ya siku tatu akanicheki;

Mzee: "Uko wapi?"

Analyse: "Nyumbani tu"

Mzee: "Andaa vyeti vyako, alafu nakupa namba ya mtu unayetakiwa kwenda kuonana nae"

Akanipa namba, baada ya muda nikawa nishaonana na yule mtu. Uzuri kila kitu kilishakuwa settled na yule Mzee wa Kongowe, hivyo hapakuwa na mambo mengi. Ndani ya wiki nikajikuta nimekuwa rasmi mkazi wa Simiyu. Mazingira hayakuwa favorable, ila niliamua kuyakubali maana nilikuwa na amani lakini pia malipo yalikuwa mazuri tofauti na nilipotoka.

Nilifanya ile kazi kama mwezi mmoja na nusu, haikuwa ni kitu nilichosomea ila nilishaanza kukimudu vizuri tu, pengine kuliko hata wenye fani yao.

Nikiwa nishaanza kuzoea na kuzoeleka kule. Kuna siku yule Mzee wa Kongowe akanipigia simu:

Mzee: "Hivi si ulisomea (.........)?"

Analyse: "Ndio Mzee"

Mzee: "Kuna mtu nimeongea nae, inabidi uende ofisi fulani ukajishikize pale"

Analyse: "Mbona huku nishaanza kupazoea Mzee?"

Mzee: "Kama unataka kukua kitaaluma, inabidi ufanye kazi kwenye taaluma yako"

Analyse: "Ni kweli Mzee lakini...."

Mzee: "Sikia kijana, kwenye maisha tunapigania vitu viwili, furaha na amani. Na hakuna amani kama kufanya kitu unachopenda. Hiyo kazi leo Unaona umeizoea, ila mbeleni itakuboa hasa endapo maslahi yakipungua maana kinachokuweka hapo ni hela"

Analyse: "Lakini..."

Mzee: "Uamuzi ni wako kijana. Niambie kama upo tayari au la"

Kiuhalisia sikuwa tayari, lakini sikutaka kumpoteza huyu Mzee. Nilitamani aendelee kuwa kwenye cycle yangu siku zote. Nikajikuta namkubalia.

Ofisi aliyonipeleka safari hii mazingira yalikuwa mazuri, lakini malipo yake hayakuwa mazuri ukilinganisha na niliyokuwa napata mwanzo. Kibaya zaidi mazingira ya ule mkoa sikuwa nimeyaelewa.

Nilijikuta naenda kazini nikiwa off mood karibia kila siku. Nilifanya kazi pale miezi kama minne hivi bila kupatwa na kashkash yoyote ile. Kuna siku Mzee wa Kongowe akanipigia;

Mzee: "Unaendeleaje kijana?"

Analyse: "Salama tu Mzee"

Mzee: "Kwenye hiyo ofisi kuna nafasi za kudumu zimejitokeza. Inabidi uapply moja wapo"

Analyse: "Sawa"

Kwa msaada wa Mzee wa Kongowe, ile nafasi ya kujitolea ikageuka kuwa permanent. Nikiwa na wiki tatu tokea niwe permanent, yule Mzee wa Kongowe kuna siku akaniuliza kitu;

Mzee: "Hivi huwaga una passport?"

Analyse: "Hapana Mzee, sijawahi kuwa na kazi nayo"

Mzee: "Passport ni muhimu, hata kama huna kazi nayo. Inaweza kutumika kama kitambulisho tu"

Analyse: "Ni kweli Mzee"

Baada ya hapo tukapiga story zingine, kisha tukaagana.

Nilijifikiria fikiria kwamba kwanini yule Mzee aliniuliza vile? Baada ya kutafakari sana nikaamua kuanza kufanya application ya passport online, japo sikuwa naipa uzito. Ndani ya kama mwezi na nusu nikawa na passport yangu mkononi. Nilitumia muda mrefu kuipata, maana nilichelewa kusubmitt zile form.

Kuna siku tukiwa ofisini, pakatokea nafasi ya kuhudhuria training nje ya nchi. Process zilishaanzaga muda mrefu, ila pakatokea nafasi ya ziada hivyo akawa anahitajika mtu haraka wa kuiziba hiyo nafasi. Upendeleo ulikuwa kwa ajili ya kijana, maana ni training ambayo itahitajika kuleta faida kwenye taasisi kwa muda mrefu ujao. Tulipokuja kuulizwa vijana kama kuna mwenye passport, nikawa nayo peke yangu. Zali likaniangukia Mimi.

Nilifurahi sana, ikabidi nimpigie simu Mzee wa Kongowe kumpa hiyo taarifa. Alichoniambia ni kitu kimoja tu "Bahati inawapendelea waliojiandaa hata kama mpo wengi wenye vigezo"

Katikati ya yale maongezi akaniambia kitu. "Nimefurahi kuona upo sharp na unajua kujiongeza. Kuna mtu nitakukutanisha nae"

Nikamuitikia, alafu tukamaliza maongezi yetu.

****** ****** ****** ******

Siku ya safari nikiwa pale airport nasubiria muda wa kuboard. Nikashangaa kumuona Mzee wa Kongowe nae akiwa maeneo yale anasalimiana na watu kadhaa. Tukakutanisha macho ila hakuonesha ishara yoyote.

Baadae wakati tunajiandaa kwenda kwenye foleni, akaja nilipo tukasalimiana kisha akaendelea kuongea na watu wengine.

Wakati nikiwa kwenye foleni ikaingia msg kwenye simu, mtumaji alikuwa Mzee wa Kongowe:

"Yule mtu niliyesema nitakukutanisha nae, ndio huyo aliyesimama mbele yako. All the best"

Ikabidi nimpe umakini mtu aliyekuwa mbele yangu. Alikuwa Mzee wa makamo ambaye sikuwa namfahamu au kuwahi kumuona kabla ya hiyo siku.

Analyse: "Huyu ni nani?. Natakiwa kumwambia nini?

Mzee: "Nilisema nitakukutanisha nae, na sio kukwambia cha kumwambia. Kama unataka kunyanyuka kwenye career yako au kupiga hatua kwa namna yoyote, huyo ni mtu sahihi sana"

Analyse: "Kwahiyo nifanyeje? "

Mzee: "Safari ni ndefu hii, utakuwa na muda wa kutosha, so figure it out "

Conversations ikaishia hapo.

Tulivyoingia ndani, nikatafuta seat yangu ilipo, nikakaa. Muda kidogo, akaja abiria mwingine akakaa pembeni yangu. Kumwangalia vizuri , ni yule Mzee aliyekuwa mbele yangu kwenye foleni. Kama Mzee wa Kongowe asingeniambia kwamba huyu Mzee ni muhimu na natakiwa kujenga nae ukaribu, nisingepata tabu kumuingia. Ila tayari nilishajawa na tension. Nilishaanza kumpa umuhimu japo sijajua ni kwa namna gani atakuja kunisaidia.

Tukiwa tumekakaa huku abiria wengine wanatafuta siti zao, nikaanza kujipanga namna gani namuingia huyu Mzee....

** ** *" *

👍
 
Back
Top Bottom