Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Hivi kwann watu wanatoaga hela kirahisi kuwapa polisi? Yaani watu wakae namm kuanzia jion mpaka sa10 bado niwape hela yangu.. daah wataniua aisee
Kuna mawili ndugu hao jamaa moja ukileta ubishi hapo hapo upewe kesi ya kuvunja duka la jumla huko au muda wako kupotea ila inaumiza sana
 
Asante aposto
Ila polisi wanajua kupotezea wenzao muda sanaa
 
Hao polisi siku moja tembea na upupu...uwamwagie kwnygari lao...wana boaaa..
 
Kazi nzuri chief, hongera sana kwa uandishi mzuri, content zilizopangiliwa zikapangika.
Moja ya changamoto kubwa ya watanzania wengi ni kuto kujua haki zao,hasa pale wanapokutana na wajanja wa mjini. Tumetengenezewa maisha ya hofu kiasi kwamba mtu anaona sawa tu kutoa rushwa ili mambo yasiwe mengi.
Pamoja na udhaifu wa sheria zetu,bado tunapaswa kuzijua haki zetu na kuzilinda bila kuogopa.
Mungu awasaidie wale wote waliodhurumiwa haki zao kwa kutozijua/kuzidiwa ujanja. Tanzania imara inahitaji watu imara na wanaoweza kujisimamia na kujitetea pale walafi wanapotaka kuwatumia kama ngazi ya kupandia.
 
Mkuu ushawahi kudeal na polisi kwa namna yoyote ile?
Nilishawahi mkuu, nimelazwa ndani mara mbili. Moja ilikuwa tu ni kosa la barabarani imagine.

Wale jamaa ni wapuuzi, ila kwa namna yoyote hawawezi kukufanya ukeshe afu bado uwape hela
 
Back
Top Bottom