Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MoviesInatokea ghafla, utatafuta hicho chuma saa ngapi, tena siku hizi hatubandui macho kwenye simati phone
Na imedunda chini😀 huenda cable ilikatikaHapo sipati picha walivyokuwa wakimuita Mungu au Mama zao maana kutoka 10 hadi mwisho wa lift sio kazi ya kitoto
Walijua ni Eicher ileUtawaweza wazee wa ku force.
Millennium Towers ndio like jumnba la Barrick Gold?
Unaweza kukuta waliotengeneza, kuna nati ilisahaulika kufungwa. Msilaumu uzito tu. Huyo mkarabati ashikwe koo piaWatanzania tunaishi kama Ng'ombe yaani,suala la ku-take precautions ni suala zito kabisa kwetu sisi..
Tukiambiwa tufuate maelekezo tunaona kama tunaonewa
Watu saba wamejeruhiwa baada ya 'lift' katika jengo la Millenium Tower - II, Dar es Salaam kuporomoka kutoka ghorofa ya 10.
Jeshi la Zimamoto limesema chanzo ni lift hiyo ambayo imefanyiwa matengenezo karibuni kuzidiwa uzito ambapo waliingia zaidi ya watu 10 kwa wakati mmoja.View attachment 2633244
nikikuta ghorofa lolote limeandikwa TOWER siingii ndani....ata benki zenye akaunti yangu zikiamia TOWER yoyote nahama!!!!.........................inaelekea kuna jini MAKATA humo!!!
Huyo aliye service mara ya mwisho hakufanya kazi yake vizuri. Ndio mambo ya kuachia nyoka kazi hayo unakuta mtu ana kazi nyingi anamu assign kijana wake akafanye kazi hio chap chap. Mwishowe ni majanga tu.Unaweza kukuta waliotengeneza, kuna nati ilisahaulika kufungwa. Msilaumu uzito tu. Huyo mkarabati ashikwe koo pia
Kuna wengine walikuwa wanatukanaHapo sipati picha walivyokuwa wakimuita Mungu au Mama zao maana kutoka 10 hadi mwisho wa lift sio kazi ya kitoto
Fun fact: did you know that the human bone is stronger than mild steel?? It can clock up to a strength of 60,000N…that’s almost the weight of an african bush elephantAcha kuishi kimuvi kimuvi.
Impact itakayotokea joints zako zitaweza kuhimili?
Life itself is a movieYou watch too much movies.
kuna technical report ikiyotoka kuthibitisha kwa haraka hivi?Watanzania tunaishi kama Ng'ombe yaani,suala la ku-take precautions ni suala zito kabisa kwetu sisi..
Tukiambiwa tufuate maelekezo tunaona kama tunaonewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ikawajeee???Nusu nimgegede demu fulani hivi kwenye lift mara puu lift ikaanguka
INAWEZEKANA HATA USIJUE KAMA LIFTI INAANGUKA KWASABABU UKIWA NDANI WALA HUELEWI KINACHOENDELEA.Lift ikiwa inaanguka tafuta chuma kwa juu udandie…utatoka bila hata kovu
Au mwendokasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunakwenda kimazoea zaidi, kisa lift imewakuta wote hapo basi wanailinganisha na fuso.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahLift za kichina hizo.
Kuna lift pale mlimani hall two na five. Zikizidiwa zinajifunga break. Sasa wachina wa vodafasta hata jinsi ya kuweka break hawajui.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiingia kwenye lift za Dar, Kama Kuna majimama, hesabu kila jimama Ni watu watatu. Usije ukaingia kwa lift na jimama la pointment/chemba.