Ni balaaAu mwendokasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni balaaAu mwendokasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahTz ni nchi hovyo Sana! Kuna mwaka fulani walikata tiketi za ndege kuzidi siti, watz wakasema tunasimama! Mpk waliposhushwa kwa nguvu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nyie watu.Kuna Floor za jengo refu pale posta ni kama gari za mbagala zinajaa mpaka kingora kinalia watu ndio wanapungua.. afu watu wapunguze uvivu floor 1 & 2 sio ya kupanda lift.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu 10 wote wameshiba mihogo lazima lift izidiwe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo sipati picha walivyokuwa wakimuita Mungu au Mama zao maana kutoka 10 hadi mwisho wa lift sio kazi ya kitoto
Dada uniitage nije kupanda lift huko bas.Kuna Uwezekano Lift ilikuwa mbovu au Maintanance hazifanyiwi kwa wakati...
Ninachofahamu mimi....Lift uzito ukizidi haiwezi kuondoka... Mlango utafunga kama kawaida ila Inasimama Floor hiyo hiyo hadi Uzito upungue.. Tena hasa hizi lift za Kisasa..
Niwape pole Majeruhi..
Duh hii physics ya chuoni au? Mi najua hata lift ikipanda au kushuka najuagaINAWEZEKANA HATA USIJUE KAMA LIFTI INAANGUKA KWASABABU UKIWA NDANI WALA HUELEWI KINACHOENDELEA.
Watu 10 wa Daslam sio wazito sana maana chakula chao kina julikana..😊, Mungu awaponye majeruhi wapate kupona haraka..😑Watu 10 wote wameshiba mihogo lazima lift izidiwe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunakwenda kimazoea zaidi, kisa lift imewakuta wote hapo basi wanailinganisha na fuso.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiingia kwenye lift za Dar, Kama Kuna majimama, hesabu kila jimama Ni watu watatu. Usije ukaingia kwa lift na jimama la pointment/chemba.
Wameshuka kama yule jamaa aliyejirusha hapo magomeni akaingia vibaya kwenye tankiNdio maana yake halafu pata picha ya impact baada ya kukita chini, kuvunjika migongo rahisi sana
Yaan hatarii tupuu.Ni balaa
Jengo la Ushirika Mnazi mmoja kulikuwa na Babu kaajiriwa kukubonyezea unaposhukaKuna Floor za jengo refu pale posta ni kama gari za mbagala zinajaa mpaka kingora kinalia watu ndio wanapungua.. afu watu wapunguze uvivu floor 1 & 2 sio ya kupanda lift.
Daaah mimi naona shetani apumzishwe kila kitu shetani😂😂, unachepuka shetani, ukijikwaa kidogo shetani, mtu kajitupa shetani, ukifukuzwa KAZI KWA KUIBA shetani aseee awe tu na yeye anaenda kushtaki KWA MUNGU 🤣🤣🤣Hiyo mitaa kuna shetani mtoa roho anatembea, jana mtu kajirusha na leo lift imeporomoka