Lighter Touch: Ule uvumi ungenoga hivi leo

Tumtakie heri aendelee na majukumu yake.
 
Mkuu;
Unapoweka neno KILA MTU alimtakia heri ninashindwa hata kuelewa nianze vipi kujenga hoja ya kukushawishi. KILA MTU kwa kutumia kigezo gani kinachotambuliwa kimataifa?

Kuna thread humo ambazo watu walijadili kipindi Rais Kikwete alipoanguka jukwaani mpaka wengine walikuwa wanapigwa ban na comment zao zinafutwa.

Kipindi cha Marais unachokisema hata watumiaji wa mitandao kama twitter, facebook na Instagram walikuwa wachache sana huku mitandao mingine kama Jamiiforums ikiwa na moderator ambao walikuwa wanafuta comment mbaya.
 
Nakubaliana nawe, naondoa hilo neno ''kila mtu'' kwa kuwa hakuna kigezo wala takwimu. Badala yake natumia ''hali iliyopo''. Swali linabaki pale pale, nini kimebadilika hadi hali ikawa kama ilivyo leo?
 

Si la kucheka ila kuna watu wamebobea kuvumisha... na wanaochekesha ni washabiki wa uvumi...

Hasa Sky Eclat alitoa hadi na tarehe na salam.

Akajitahidi kuspin ila kwa sasa pengine yupo chini ya uvungu wa kitanda anahesabu nyota kwenye shimo refu lenye giza.

Hana la kusema zaidi ya kujutia credibility na reputation yake if she cares.
 
Utajiju
 
Wajibu ujinga ushakuta mwehu anajibiwa
 
Una akili sn
 
Sasa chief, hii kitu ilikuwa highly organized, tusiwe wavivu wa kufikiri. This is a National assessment, kwa sehemu imekuwa successful sana. Binafsi nimejifunza Mengi sana, kubwa kuliko yote ni kujiongeza. Maana sijaona sana watu kujiongeza, yaani ilikuwa receive and send as received. What's the hell is wrong with us!! [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mpaka sasa Ikulu haijasema chochote kama alikuwa mgonjwa au la sasa unapowalaumu hawa wabongo mbona hueleweki
Hao mafala walisema amekufa, hadi lema akapost kumuonya gerson msigwa eti taarifa ya utauzi ni fake!
Nitafurahi nikisikia hao watu wameshikishwa adabu, sijui kwa nini wanawalea hao wajinga
 
We ni mjinga sana, yani kurugenzi ya habari ikulu imjibu kigogo?? Raisi karudi dar ijumaa, jumamosi ikatoka taarifa ikulu kuwa ametengua na kuteua, hapo tu kwa mwenye akili ilitosha kujua kuwa huo ni uzushi na ujinga
 
Are you serious, fikiri upya, tena fikiri kama great thinker.
 
Aisee!
 
Zitto, Maria Tsehai Sarungi, Ansbert Ngurumo, Evarist Chahali, Godbless Lema, Vincent Mashinji na ndugu yao Kigogo...watu Wa ajabu sana
Hongeza na baadhi ya wana CCM, wale waliokua wanatumia chama kama pango lao
 
Duh!
Sawa cheti feki siyo mimi wa kwanza tuko wengi. Hata yeye PhD yake ni feki ndiyo maana kumuua Ben Saanane alipohoji. Na mwanaye Bashite naye kafoji jina la Makonda.

Leta hoja nyingine
 
Wajinga mlioshabikia ,kurugenzi ilitoa teuzi bado mlibisha mlitaka nini
 
Hata kama !!. Ninachoshukuru ni jamaa kasukumwa kwenye kona mpaka walimu kuanzia kesho wataanza kupandishwa vyeo, madaraja na mishahara. Amejuwa hisia za watu [emoji120]
 
Bado nashangazwa na upole wa hii serikali, hivi kwa zile post za lema na wale vijana wa bavicha akina hilda na vitus, serikali inashindwa nn kuwatia nguvuni??
Kwa hili nawalaumu serikali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…