Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu;Hapana, tuna mfumo wa vyama vingi takribani miaka 30 sasa.
Nyerere alipoumwa Taifa lilihuzunika na kila mtu alimtakia heri
Mkapa alipoumwa Taifa lilihuzunika, kila mtu alimtakia heri
Kikwete alipoumwa Taifa lilihuzunika, kila mtu alimtakia heri
Wote hao waliugua wakati wa mfumo wa vyama vingi. Nini kimebadilika leo?
Nakubaliana nawe, naondoa hilo neno ''kila mtu'' kwa kuwa hakuna kigezo wala takwimu. Badala yake natumia ''hali iliyopo''. Swali linabaki pale pale, nini kimebadilika hadi hali ikawa kama ilivyo leo?Mkuu;
Unapoweka neno KILA MTU alimtakia heri ninashindwa hata kuelewa nianze vipi kujenga hoja ya kukushawishi. KILA MTU kwa kutumia kigezo gani kinachotambuliwa kimataifa?
Kuna thread humo ambazo watu walijadili kipindi Rais Kikwete alipoanguka jukwaani mpaka wengine walikuwa wanapigwa ban na comment zao zinafutwa.
Kipindi cha Marais unachokisema hata watumiaji wa mitandao kama twitter, facebook na Instagram walikuwa wachache sana huku mitandao mingine kama Jamiiforums ikiwa na moderator ambao walikuwa wanafuta comment mbaya.
Ule uvumi umetufundisha mambo mengi; lakini kubwa ni kuwa mashine ya kuchakatia uzushi ilichakata sana jana.. lakini leo imeshindwa kuendelea...
...huyu double tunaweza kusema alienda akafanyiwa "plastic surgery" huko Cuba na amekuwa akitumika mara kwa mara...
....baada ya kuugua alikimbizwa Afrika ya Kusini, ambako alipanda ndege ya mwendo kasi hadi Ujerumani alikofanyiwa matibabu, halafu akapandishwa ndege nyingine ya haraka na kurudi Ikulu Dar ambako alipokelewa kwa njia ya siri kupitia mlango ulioko baharini - akitokea meli ya nyambizi...
We unaonaje huu uvumi ungenoga noga vipi leo baada ya Jeuri ya Rais kuonekana leo..?
UtajijuKwa akili ya kiwango cha chini twaweza kuwaona waajabu sana lakini sio hivyo!
Aliye anzisha huo uvumi naweza kusema kashinda kwa maksi za juu sana.
Kwanza kaonyesha UBOVU NA UDHAIFU wa kurugenzi ya habari Ikulu. Hii kurugenzi ina sifa za kukanusha haraka sana mambo ya kijinga lakini imeshindwa kukanusha hili la kuugua au kutoa taarifa. Maana hata kama Rais hakujisikia vizuri kwa uchovu mbona wangeweza kujibu haraka kuwa kazidiwa uchovu kwa kazi za mfululizo na pole angezipokea na sifa ya kufanya kazi kwa bidii!
Pili wameruhusu hisia mbaya kuhusu Rais wetu kupata nafasi kuenezwa maana hata hao waliokuwa wanaombea mabaya sio kusemea hawana hoja, wanazo tena nzito na wamepata nafasi ya kuzisema kwa wazi zaidi.
Hao mnaowataja wameongea kwenye mijadala hiyo kama mihemko tuu, lakini wapo waliokuwa kwenye mkumbo huo wakumuombea mabaya na wako karibu naye kabisa huku nyuso zao zikicheka naye ila mioyo haipo naye.
Wajibu ujinga ushakuta mwehu anajibiwaMkuu katika hili bila kumung'unya maneno wajinga ni kurugenzi ya mawasiliano kushindwa kutoa taarifa sahihi kwa wakati na kuruhusu tetesi kuzaa uhasama na njozi mbaya.
Kwani tokea juzi wangejibu kiaina yote haya yangetokea?
Kurugenzi isafishwe na kuwekwa wenye utaalamu sio wanaofanyakazi kama idara ya Polepole.
Hakuna siku kurugenz ya mawasiliano ikulu imeweza kama leo
Ilikuwa ni lazima ikae kimnya, isijibizane kwa maneno ifanye vitendo
Once and for all
Wimbo wa kuwa tetesi za mitandaoni sio za kuziamini umekuwa ukiimbwa muda mrefu lakin watu hawajifunzi
Leo kwa mara ya kwanza nakutana na watu wanajilaum "Dah nilimwambia mama,naanzaje kumfafanulia kuwa ilikuwa uongo "
Mtu kama huyo, haj kurudia tena kuwaamini wanaharakat uchwara wa mitandaoni
Akina Gerson wamefanya kaz leo, ambayo itawafanya wapumzike na kelele za wanaharak uchwara kwa muda mrefu,labda kiibuke kizazi kingine cha wanaharakati, ila hawa waliopo wamepoteza credibility kabisa
Kwa akili ya kiwango cha chini twaweza kuwaona waajabu sana lakini sio hivyo!
Aliye anzisha huo uvumi naweza kusema kashinda kwa maksi za juu sana.
Kwanza kaonyesha UBOVU NA UDHAIFU wa kurugenzi ya habari Ikulu. Hii kurugenzi ina sifa za kukanusha haraka sana mambo ya kijinga lakini imeshindwa kukanusha hili la kuugua au kutoa taarifa. Maana hata kama Rais hakujisikia vizuri kwa uchovu mbona wangeweza kujibu haraka kuwa kazidiwa uchovu kwa kazi za mfululizo na pole angezipokea na sifa ya kufanya kazi kwa bidii!
Pili wameruhusu hisia mbaya kuhusu Rais wetu kupata nafasi kuenezwa maana hata hao waliokuwa wanaombea mabaya sio kusemea hawana hoja, wanazo tena nzito na wamepata nafasi ya kuzisema kwa wazi zaidi.
Hao mnaowataja wameongea kwenye mijadala hiyo kama mihemko tuu, lakini wapo waliokuwa kwenye mkumbo huo wakumuombea mabaya na wako karibu naye kabisa huku nyuso zao zikicheka naye ila mioyo haipo naye.
Hao mafala walisema amekufa, hadi lema akapost kumuonya gerson msigwa eti taarifa ya utauzi ni fake!Mpaka sasa Ikulu haijasema chochote kama alikuwa mgonjwa au la sasa unapowalaumu hawa wabongo mbona hueleweki
We ni mjinga sana, yani kurugenzi ya habari ikulu imjibu kigogo?? Raisi karudi dar ijumaa, jumamosi ikatoka taarifa ikulu kuwa ametengua na kuteua, hapo tu kwa mwenye akili ilitosha kujua kuwa huo ni uzushi na ujingaKwa akili ya kiwango cha chini twaweza kuwaona waajabu sana lakini sio hivyo!
Aliye anzisha huo uvumi naweza kusema kashinda kwa maksi za juu sana.
Kwanza kaonyesha UBOVU NA UDHAIFU wa kurugenzi ya habari Ikulu. Hii kurugenzi ina sifa za kukanusha haraka sana mambo ya kijinga lakini imeshindwa kukanusha hili la kuugua au kutoa taarifa. Maana hata kama Rais hakujisikia vizuri kwa uchovu mbona wangeweza kujibu haraka kuwa kazidiwa uchovu kwa kazi za mfululizo na pole angezipokea na sifa ya kufanya kazi kwa bidii!
Pili wameruhusu hisia mbaya kuhusu Rais wetu kupata nafasi kuenezwa maana hata hao waliokuwa wanaombea mabaya sio kusemea hawana hoja, wanazo tena nzito na wamepata nafasi ya kuzisema kwa wazi zaidi.
Hao mnaowataja wameongea kwenye mijadala hiyo kama mihemko tuu, lakini wapo waliokuwa kwenye mkumbo huo wakumuombea mabaya na wako karibu naye kabisa huku nyuso zao zikicheka naye ila mioyo haipo naye.
Mkuu katika hili bila kumung'unya maneno wajinga ni kurugenzi ya mawasiliano kushindwa kutoa taarifa sahihi kwa wakati na kuruhusu tetesi kuzaa uhasama na njozi mbaya.
Kwani tokea juzi wangejibu kiaina yote haya yangetokea?
Kurugenzi isafishwe na kuwekwa wenye utaalamu sio wanaofanyakazi kama idara ya Polepole.
Mkuu katika hili bila kumung'unya maneno wajinga ni kurugenzi ya mawasiliano kushindwa kutoa taarifa sahihi kwa wakati na kuruhusu tetesi kuzaa uhasama na njozi mbaya.
Kwani tokea juzi wangejibu kiaina yote haya yangetokea?
Kurugenzi isafishwe na kuwekwa wenye utaalamu sio wanaofanyakazi kama idara ya Polepole.
Hongeza na baadhi ya wana CCM, wale waliokua wanatumia chama kama pango laoZitto, Maria Tsehai Sarungi, Ansbert Ngurumo, Evarist Chahali, Godbless Lema, Vincent Mashinji na ndugu yao Kigogo...watu Wa ajabu sana
Sawa cheti feki siyo mimi wa kwanza tuko wengi. Hata yeye PhD yake ni feki ndiyo maana kumuua Ben Saanane alipohoji. Na mwanaye Bashite naye kafoji jina la Makonda.
Leta hoja nyingine
Wajinga mlioshabikia ,kurugenzi ilitoa teuzi bado mlibisha mlitaka niniMkuu katika hili bila kumung'unya maneno wajinga ni kurugenzi ya mawasiliano kushindwa kutoa taarifa sahihi kwa wakati na kuruhusu tetesi kuzaa uhasama na njozi mbaya.
Kwani tokea juzi wangejibu kiaina yote haya yangetokea?
Kurugenzi isafishwe na kuwekwa wenye utaalamu sio wanaofanyakazi kama idara ya Polepole.
Chadema tu ndio walifurahi, ila nina amini JPM atawafurahisha zaidi! SubiriNani anamtaka huyo?Ni kakikundi kadogo sana tena kanakomtapeli kwa KUMSIFIA Kwani anapenda kusifiwa
We jamaa bana hivi huwajui chadema vizuri?? Ni lini kikwete alivyokuwa madarakani walimtakia heri?? Hebu pitia hapaNakubaliana nawe, naondoa hilo neno ''kila mtu'' kwa kuwa hakuna kigezo wala takwimu. Badala yake natumia ''hali iliyopo''. Swali linabaki pale pale, nini kimebadilika hadi hali ikawa kama ilivyo leo?
Hata kama !!. Ninachoshukuru ni jamaa kasukumwa kwenye kona mpaka walimu kuanzia kesho wataanza kupandishwa vyeo, madaraja na mishahara. Amejuwa hisia za watu [emoji120]Tulipolazimishwa/kukubali kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi bila kujiandaa kama taifa, wenye uelewa wa masuala ya saikolojia walijua kitatokea nini?
Siasa za vyama vingi kwenye nchi ambazo zilikuwa na mfumo wa kijamaa zimezalisha taifa lililogawanyika katika pande mbili. Hakuna political meeting point ambayo inabeba hoja za pande mbili.
Mtu anayedhani Taifa limegawanyika katika utawala wa awamu ya tano atakuwa haijui vizuri Tanzania na siasa zake.
Hoja ya kusema tuwe na national dialogue ni ndoto za mchana katika mazingira yaliyozaa taifa linaloitwa Tanzania!
Ah sasa kama ni jambo la kwaida, kwanini watu wataharuki!We jamaa bana hivi huwajui chadema vizuri?? Ni lini kikwete alivyokuwa madarakani walimtakia heri?? Hebu pitia hapa