Lighter Touch: Ule uvumi ungenoga hivi leo

We can come up with all kinds of scenarios, assumptions, and what ifs, or justifications, but deeply the nation is polarized and there is such a need for a national dialogue instead of mockery. Denial ain’t a solution at all.

Is that how it works? when calling for national dialogue by spreading false information?
 
Ikulu iache kufanya mambo ya msingi

Ijibu tetesi za waliosema rais alikuwa ujerumani leo na wakataja had chumba alichokuwepo?

Tunapiga kazi, hatuna muda wa kujibu kila mnachozusha, lengo lenu linajulikana ni kututoa kwenye reli
Mbona inasikiliza umbea kwenye simu za watu kama watu wanamsengenya rais? Na huyo raisi mbona anarudha vijembe na mipasho? Nafikiri kukanusha tetris ni muhimu kuliko hayo niliyoyataja, nano ananisengenya ili nirudishe kwa vijembe hapo ikulu ina nafasi
 
Kama anakubalika kwa nini ana bana free press na kukandamiza vyama vya upinzani? Huwezi kuongelea statistics zozote wakati hakuna level play ground ya political activities. Na wote unaosema umepata maeneo umelinganisha Magufuri na kivuli au CCM na sifuri.
 
We can come up with all kinds of scenarios, assumptions, and what ifs, or justifications, but deeply the nation is polarized and there is such a need for a national dialogue instead of mockery. Denial ain’t a solution at all.
Sure...
 
Zitto, Maria Tsehai Sarungi, Ansbert Ngurumo, Evarist Chahali, Godbless Lema, Vincent Mashinji na ndugu yao Kigogo...watu Wa ajabu sana

Wewe mwenyewe ni wa ajabu lakini hujisemi,siasa isifanye umchukie mtanzania mwenzako kwa sababu ya itikadi.umenielewa wew Asha?
 
Nimesema kujibu kiweledi kuua uvumi huo. Njia mbona nyingi tuu! Nikuwa active tuu kwa tukio lolote la kawaida litakalo muonyesha Rais au tamko lake.
Haiwezekani amalize ziara ndefu ile halafu atoweke protokali ya kawaida ya kuaga Lindi na kurudi Dar ivunjwe halafu walaumiwe watu wa majungu na unafiki wakati wame watengenezea story kwa ukimya?
 
Aliyempiga risasi Lissu ni unknown.
Na kama ni serikali basi possibly ilikuwa na sababu za muhimu....
Na ndio maana mimi ni mpinzani nisiyetegemea kuonewa na sijawahi kuonewa.

Yaani serikali iwe na sababu za muhimu ndio impige risasi mbunge wake? Makubwa haya!
Nimekushangaa sana.
 
Social media wako watanzania wangapi mpaka uone kama wengi wanachuki? Mnafika hata elfu tatu?
 
CHINA is not politically united, but as you had put, politics by its nature is disruptive and divisive. Now can you ask president Magufuri to respect that fact and focus on governance.
 
Social media wako watanzania wangapi mpaka uone kama wengi wanachuki? Mnafika hata elfu tatu?
Kama hujui concepts za population, representation, mean, mode, standard deviation, sampling, sample frame, sample size huna capacity ya kuchangia hoja hii. Soma pita mbali!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…