Lighter Touch: Ule uvumi ungenoga hivi leo

We can come up with all kinds of scenarios, assumptions, and what ifs, or justifications, but deeply the nation is polarized and there is such a need for a national dialogue instead of mockery. Denial ain’t a solution at all.
Sidhani kama mleta mada amekuelewa?! kidhungu ma men!
 

Kuanza kunyoshea vidole watu kutokana uvumi wa jana ni upumbaf,ujinga na umbeya kiwango cha lami…!Uvumi wowote hukanushwa kwa taarifa toka Msemaji wa Serikali!
Nimemsikia huyu mwendawazimu na kichaa ambaye bila ya shaka aidha anaandaa MUSIBA wake mwenyewe au musiba na misiba ya ndugu zake na kundi lake…!

Musiba anadai ana watu 3m+ nyuma yake na kama Polisi hawata washughulikia kina Zito,Lissu,Maria, Fatuma na Membe yeye Bwana Musiba na kundi lake ati atachukua hatua…!HUU NI UCHOCHEJI!

Hivi huyu mwendawazimu anajua kina Zito,Lissu na Membe wana watu milioni ngapi nyuma yao? Hivi na wao wakiamua kumsaka Musiba na kundi lake kitatokea nini kama siyo MAUAJI YA KIMBARI?
 
Hizi ndizo nyufa alizokuwa anazungmuzia Mwl. Nyerere, nivyema tukajitambua ili tujisahihishe haya mambo ya chuki hayajengi ila tunayafanyia mzaha lakini iko siku itafika tutajilaumu wenyewe.
 
Musiba aache uchochozi. Tunaviomba vyombo vya dola watu waache matamko ambayo yanaongeza chuki Nyerere katuachia nchi nzuri tuitunze bila Musiba raisi wetu tutamlinda kama mboni ya jicho. Hawa wachochozi achaneni nao kwa kuwa hauwajui walitendalo. Il
 
Nimeiona hiyo na kuhitimisha kuwa ukweli Musiba ni kichaa kabisa na wanao mtumia ni completely wehu!
 
No body loves him? What a big joke.
 
Waluokuwa pissed off ni wapiga deal na Bado wako pissed off kwasababu ndio nia zao za kupata kipato na tatizo kubwa wabongo huwa wanafikiria kila siku hali itakuwa hivyo , hivyo hawawekezi au kujitayarisha hali ikibadilika atafanya nini??
Tofauti na mhindi, mangi, wakinga na zzk
 
unayemsema hakuwekwa ndani kwa ajili hiyo.
Ukijaribu kuwa honest utapunguza kiasi kikubwa sana cha sumu na illusions.
Ni hivi, hata mtu akisema nimeota maono kuwa fulani akiendelea kutenda hili na lile hakika atakufa kabla ya 2020.
Basi anakamatwa na kuwekwa ndani kwani kaleta uchochezi kwa Mungu hivyo anaweza kutenda kweli!
Alamsiki!
 
unayemsema hakuwekwa ndani kwa ajili hiyo.
Ukijaribu kuwa honest utapunguza kiasi kikubwa sana cha sumu na illusions.
Sina sumu mwilini, sumu mnayo nyie mnaoumiza watu then mnasikia raha na kuburudika moyoni.
Wanasaikolojia wanasema hata mtoto mdogo ukiona anasikia raha kupiga kuku na manati, kusemea sumu paka nk na aonapo wakikata roho anasikia raha basi moyo wake umejaa sumu pengine itokanayo na malezi
 
rudi kwenye hoja uliyoanzisha...
Aliyewekwa ndani kutokana na ndoto ni uwongo.

Hata haya unayoandika hapa ni hisia zinazotokana na schizophrenic. Illusions.

 

Kila mara Rais akijisikia uchovu inabidi mjulishwe? Upambavu wameonyesha CHADEMA waliosema Rais kalazwa Germany.
 
Ungenoga kama wangesema yule Magufuli si original. Walimleta Magufuli wa Njombe awaapishe! Ahahahahahaha!
 
Ikulu iache kufanya mambo ya msingi

Ijibu tetesi za waliosema rais alikuwa ujerumani leo na wakataja had chumba alichokuwepo?

Tunapiga kazi, hatuna muda wa kujibu kila mnachozusha, lengo lenu linajulikana ni kututoa kwenye reli
Ww kazi yako nikuchukua buku saba ukenda zako naona Leo ya NNE siyoni zindua zindua Tbc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…