Ligi isiyo rasmi, inayoshabikiwa na trafiki na abiria Sauli vs Golden Deer

 
Hahah huyo utingo ana mizuka kama yeye ndiye dereva,kwa fujo hizo likilia buyu atauwa wote atakayebaki anapumua atakuwa mlemavu maisha yake yote.
Mkuu nimejaribu kufuatilia hii ligi ya huko Bangladesh ni moto wa kuotea mbali,
HANIF Volvo ft NABIL scania
Kutoka mji wa
Dhaka to Rangpur
Hawa vichaa wa ligi duniani haahaahaa nimegundua wabangladesh wanavuta bangi iliyochanganywa na pilipili kichaa wallah yaani Hawa ndio wafalme wa road huko Bangladesh na Asia kiujumla wanatisha utaomba ushushwe Aisee!
Inatwa ligi ya kifo!
😂😂😂😂
 
Wake ni balaa, utadhani gari yaendeshwa na nuclear power
 
Funika kombe
Ndicho nilichokisema hiki, tuache kuwafitinishaView attachment 1880277
Huyu Waziri hana kazi ya maana ya kufanya?
 
gari zenyewe zina kingamuzi spid mwisho 85
 
Reactions: y-n
Huwa nashangaa kuona MTU mzima anashangalia mbio za magari. Ambazo ni kifo


Kunakuwaga na watu ambao wanaishi bila maono.

Kuna watu ambao hawana cha kupoteza hata wakifa kwao wanajionea sawa tu.

Wengine wamevurugwa na maisha wengine wameathirika kwa hiyo wanaona hawana cha kupoteza hata wakiangamia.!
 
Hivi madereva wa hii route waliacha kubwia unga siku hizi? Dah hawa jamaa walitisha sana kwa ubwiaji unga tu kwa kweli hawajambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…