Ligi Kuu Bara: Simba SC vs Mwadui FC

Ligi Kuu Bara: Simba SC vs Mwadui FC

Jamani hata julio amekataa kuwaachia hata ingalau na wao wangepanda ndege wamtoe kabisa julio hata uanachama hafai .poleni sana watani zangu kuna saa nawahurumia sana ila msijali kuimba ni kupokezana watani zangu baby baby .
 
a4b372e291e4439f878543eeb8a5aeff.jpg
 
Subirini Haji Manara ataleta takwimu za mchezo ( na takwimu zake zote simba ndio timu bora Africa,ila uwanjani ni mbaya kuliko zote Africa )
 
Julio aliahidi leo ataipa Yanga ubingwa,naona katimiza ahadi
 
hongereni sana simba kwa kufungwa bao moja, taratibu ndio mwendo
 
Itakuwa ni kitu cha ajabu kama kuna mtu anategemea kitu chanya toka simba hii inayoongozwa na wapiga dili.
 
Jamani kuna nini mjini? Maana kuna wengine wamenuna, wengine wana furaha kulikoni?
 
Back
Top Bottom