libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Ajib atadondoshewa lawama leo ile kadi ya wekunduSipati picha huko Mbumbumbu FC hali ikoje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajib atadondoshewa lawama leo ile kadi ya wekunduSipati picha huko Mbumbumbu FC hali ikoje
What a comment lol!Yanga sasa hii sifa. Mechi wacheze wengine nyie mtangazwe mabingwa?
Hizi nyege hizi jamani lol!!
Picha hii apelekewe Makofia, Kaburu na Aveva
Zina akisi ukweli kabisa
Hahaha simba wamekaaZina akisi ukweli kabisa
Sina cha kuongea. HongereniKatavi njoo huku mikia imekalishwa tena!!
Poleni warembo
ha ha mkuu umepotea. hata hivyo natoa pongezi kwa simba kufungwa goli moja wamejitahidi sanaYaani Yanga kwa kununua mechi...hata jana kwa Waangola walinunua.