Naona Yanga wanabebwa kweli
Nasikia kocha wa simba ameshawaaga wachezaji wake
Naona Yanga wanabebwa kweli
kipindi cha kwanza njano, kipindi cha pili nyekundu
tuwekeeni taarifa kamili.......
mfano...inaandikwa mtu amepatiwa kadi ya njano, inatakiwa iandikwe amefanya nini na kwa mazingira gani? ndo uchambuzi huo.