Hili taulo mbona linawapa presha sana yanga??
Hahahaaa, endelea kujifariji tu.
Huu mchezo kuna kadi nyekundu....Ninyonzima anapewa kadi ya njano baada ya kumchezea rafu Singano, ni nje kidogo ya 18.
Mkuu ilo taulo lkiruhusiwa,wengine watakuja na sabun na ndoo, uwanja utageuka bafuni.
Huu mchezo kuna kadi nyekundu....
Mkuu ilo taulo lkiruhusiwa,wengine watakuja na sabun na ndoo, uwanja utageuka bafuni.
Tatizo ni nyie mna imani za kishirikina! Kama taulo, kila mechi Mapunda anakuwaga nalo na Simba bado inafungwaga! Acheni uchawi na imani potofu!