Yanga ni sawa na demu aliyevishwa pete ya uchumba mda wote ukihitaji anakuja unapiga
Hivi wewe ni kati ya wale mliompigia magoti Kanjibhai nini? Mbona mapovu yanakutoka sana? Wenzio wameshakubali matokeo wewe umebaki kulalama au ndio mara ya kwanza kimevunjikia ndani?Kwa sababu mwenye mbwa kakaa kimya wewe mbwa kiherehere cha nini?
Inashangaza kuona DEMU anawaongoza na kukamata usukani!
Mwanaume gani wewe! Unayeongozwa na demu...?

Dah kweli umeathirika psychologically.!
Badala ya Viongozi wenu kuwaaminisha UBINGWA ndio kila kitu...
Wamewaaminisha kumfunga YANGA tu ni sawa na Ubingwa..!
Ubingwa mnapata sh ngapi?
Mbona pesa za mtani jembe ni zaidi.
Alafu hata huo ubingwa mkiupata hamuendi popote...Kwa sababu mechi za kimataifa mwisho wenu mkijitahidi saaaaaana ni raundi ya pili...kama mnakavyopigwa jumamosi
Hata pato linalopata timu ya Manchester United kwa msimu ni zaidi ya mara 2 ya thamani ya ubingwa wa England..
Lakini unaona jinsi wanavyo hustle kufikia mafanikio.
Hivyo basi kama ujatambua bado....
Si suala la thamani ya UBINGWA tu bali inaleta heshima katika club na tukio zima la kutwaa ubingwa linachukuliwa kama MAFANIKIO...
upo hapo......! tia akilini hilo.
Yaani wewe unailinganisha yanga na Man U
Yanga wana mapato gani
Si mnampigia magoti kanjibhai nyie?
Kama ni heshima sisi tunaipata kwa kuwapiga mara zote tukikutana.....
Kama ni heshima unajua nani anaheshimika sasahivi mtaani
YANGA = Mafanikio ni kuhakikisha kutwaa ubingwa wa ligi Kuu Tanzania bara mara nyingi iwezekanavyo . Hivyo kujipa nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa bila kuzingatia kwamba tunachukua ubingwa au la.!
AzamFC = Mafanikio kwao ni kukamata angalau nafasi mbili za juu katika ligi Kuu Tanzania bara, ili waweze kushiriki michuano ya kimataifa kwa lengo la kutangaza na kupanua wigo wa club ya Azam Football na kufanikisha biashara za Azam Bakhresah.
Simba = Mafanikio ni kuhakikisha KUMKAMIA na KUMFUNGA Yanga kila msimu(Ndio maana hakuna mechi waliomfunga Yanga bila wao kwenda Zanzibar) , bila kuzingatia watafungwa au kutoa suluhu na timu nyinginezo.
Hivyo kuwafirahisha mashabiki wa Simba na kukwepa majukumu ya kulenga mafanikio ya kutwaa UBINGWA wa ligi Kuu Tanzania.
Ndugu, Hebu soma vizuri uweze kuelewa nilicho maanisha.
Yakupasa kuzingatia kiini cha post ili uweze kuelewa mambo..!
Yaani wewe unailinganisha yanga na Man U
Yanga wana mapato gani
Si mnampigia magoti kanjibhai nyie?
Kama ni heshima sisi tunaipata kwa kuwapiga mara zote tukikutana.....
Kama ni heshima unajua nani anaheshimika sasahivi mtaani
Wewe hio heshima unaitafuta ya Tanzania au ya wapi?
Kama ni Ya Tanzania heshima ni kumfunga mtani wa Jadi
Kama ni East Afrika au Afrika heshima hiyo Yanga hamnayo...bali ni Simba ndiyo ina heshima hiyo
Ngoja nikusaidie basi kuweka kuchambua mawazo ya member wenzako.
Kutokana na nilicho kiandika, Nilikuwa Najaribu sana kukuelewesha tena hata kwa kutumia huo mfano wa Man United...
Nilikuwa nataka kukufahamisha kuwa heshima ya Yanga na club nyinginezo zozote zinazojielewa, huletwa kwa kutwaa UBINGWA mara nyingi kadri inavyowezekana. Heshima na hadhi walizokuwa nazo timu kubwa unazozijua wewe ni lazima ziwe zimeletwa IDADI YA VIKOMBE KABATINI.
Nenda katika makabati ya timu kama
YANGA na BAYERN MUNCHEN
utakuta hakuna timu nyingine katika ligi hiyo yenye idadi hiyo ya MAKOMBE (recently) kiasi hicho ..!
Nilitumia mfano wa man u kutujulisha kuwa licha ya kuwa na fedha za kutosha tena zaidi ya thamani ya u bingwa bado wanatambua kwamba kuchukua UBINGWA ni heshima ilioje.
Na ndio maana nikasema kuna tofauti kubwa sana ya jinsi kila timu inatafsiri MAFANIKIO na HESHIMA.
Kama wewe ni mshabiki mzuri sana wa soka na lazima utakuwa umepitiapo katiba za timu yako na ile ya YANGA FC.
Katika katiba yetu tumeainisha kuwa Lengo la ushiriki wa club katika ligi Kuu ni kutwa ubingwa tu na si vinginevyo.!
Katiba inaeleza wazi kuwa Heshima na Hadhi ya klab inatokana na kufanya vizuri katika ligi.
(kumbuka: kufanya vizuri ni kutwaa ubingwa)
Labda mtuambie wenzetu kama mmebadilisha katiba ili muingize kipengele cha kudefine mafanikio kama kumfunga YANGA FC.
Klabu inayojielewa wanachama wake hawajidhalilishi kwa kumpigia magoti Kiongozi mmoja bali kuna wengi wenye uwezo huo.Mimi siku timu ninayoishabikia wanachama wakimpigia magoti kiongozi ndio mwisho wangu kuishabikia. Timu zinazojielewa hiyo timu yako inayomtegemea mtu mmoja haipo.Ni genge la madhalili wasioweza kufikiri wenyewe.