Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Yanga ni sawa na demu aliyevishwa pete ya uchumba mda wote ukihitaji anakuja unapiga

Inashangaza kuona DEMU anawaongoza na kukamata usukani!
Mwanaume gani wewe! Unayeongozwa na demu...?

😁😁😁😁😁😁
Dah kweli umeathirika psychologically.!

Badala ya Viongozi wenu kuwaaminisha UBINGWA ndio kila kitu...
Wamewaaminisha kumfunga YANGA tu ni sawa na Ubingwa..!
 
Jamani kumbukeni kuwa mnaukame na Ubingwa.... kama arsenal ya England. Hivyo fanyeni hima mpunguze UKAVU a.k.a UKAME.
 
Ni lazima Muelewe kuwa YANGA FC Yupo juu ya Kichwa chenu anaomgoza njia kuelekea Ubingwa.
 
Hivi wewe ni kati ya wale mliompigia magoti Kanjibhai nini? Mbona mapovu yanakutoka sana? Wenzio wameshakubali matokeo wewe umebaki kulalama au ndio mara ya kwanza kimevunjikia ndani?Kwa sababu mwenye mbwa kakaa kimya wewe mbwa kiherehere cha nini?
 
Najaribu kuongea ninachoona ni sawa na ni ukweli...

Si vyema unapotumia lugha ya matusi katika kujibu.

Kama unaona post zangu zinasababisha machungu kwa mashabiki wa Simba, basi ni vyema usizijibu na ukaendelea na yako mengine.
Wenye kuwa tayari kujibu post zangu kwa ustaarabu basi wanafanya hivyo!

Tusifike hatua ya kumwagiana matusi ili kumfanya member fulani asiendelea kupost anachikifikiri..?
 
Inashangaza kuona DEMU anawaongoza na kukamata usukani!
Mwanaume gani wewe! Unayeongozwa na demu...?


Dah kweli umeathirika psychologically.!

Badala ya Viongozi wenu kuwaaminisha UBINGWA ndio kila kitu...
Wamewaaminisha kumfunga YANGA tu ni sawa na Ubingwa..!

Ubingwa mnapata sh ngapi?

Mbona pesa za mtani jembe ni zaidi.

Alafu hata huo ubingwa mkiupata hamuendi popote...Kwa sababu mechi za kimataifa mwisho wenu mkijitahidi saaaaaana ni raundi ya pili...kama mnakavyopigwa jumamosi
 
Hata pato linalopata timu ya Manchester United kwa msimu ni zaidi ya mara 2 ya thamani ya ubingwa wa England..
Lakini unaona jinsi wanavyo hustle kufikia mafanikio.

Hivyo basi kama ujatambua bado....
Si suala la thamani ya UBINGWA tu bali inaleta heshima katika club na tukio zima la kutwaa ubingwa linachukuliwa kama MAFANIKIO...

upo hapo......! tia akilini hilo.
 
Freeland,

Kuna jambo lingine ambalo linakupasa ulitambue.

Mafanikio katika level ya club nayo yanatofautiana jinsi yanavyo tafsiriwa.

YANGA = Mafanikio ni kuhakikisha kutwaa ubingwa wa ligi Kuu Tanzania bara mara nyingi iwezekanavyo . Hivyo kujipa nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa bila kuzingatia kwamba tunachukua ubingwa au la.!

AzamFC = Mafanikio kwao ni kukamata angalau nafasi mbili za juu katika ligi Kuu Tanzania bara, ili waweze kushiriki michuano ya kimataifa kwa lengo la kutangaza na kupanua wigo wa club ya Azam Football na kufanikisha biashara za Azam Bakhresah.

Simba = Mafanikio ni kuhakikisha KUMKAMIA na KUMFUNGA Yanga kila msimu(Ndio maana hakuna mechi waliomfunga Yanga bila wao kwenda Zanzibar) , bila kuzingatia watafungwa au kutoa suluhu na timu nyinginezo.
Hivyo kuwafirahisha mashabiki wa Simba na kukwepa majukumu ya kulenga mafanikio ya kutwaa UBINGWA wa ligi Kuu Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Jana uliambiwa ulete rankings ya CAF ili uwe uthibitisho wa mafanikio ya timu hizi mbili. Ukazamia kimya. Tatizo sio kushiriki tu bali kushiriki na kufanya vizuri. Ifikie rekodi ya Simba ya kutwaa ubingwa wa klabu za Afrika Mashariki na Kati ndio uzungumzie kushiriki CAF. Ubingwa sidhani unachuliwa kwa kuongoza tu.Jumamosi Azam wakishinda utarudi na story ipi?Real Madrid waliongoza kwa pointi 8 na leo wamepita itakuwa hicho kitimu chako hata pasi 3 haiwezi kupiga?Nasikia mnakwenda FIFA kukata rufaa kipigo cha jumapili. Kweli ujinga maradhi.
 
Hata pato linalopata timu ya Manchester United kwa msimu ni zaidi ya mara 2 ya thamani ya ubingwa wa England..
Lakini unaona jinsi wanavyo hustle kufikia mafanikio.

Hivyo basi kama ujatambua bado....
Si suala la thamani ya UBINGWA tu bali inaleta heshima katika club na tukio zima la kutwaa ubingwa linachukuliwa kama MAFANIKIO...

upo hapo......! tia akilini hilo.

Yaani wewe unailinganisha yanga na Man U

Yanga wana mapato gani
Si mnampigia magoti kanjibhai nyie?
Kama ni heshima sisi tunaipata kwa kuwapiga mara zote tukikutana.....
Kama ni heshima unajua nani anaheshimika sasahivi mtaani
 
Ndugu, Hebu soma vizuri uweze kuelewa nilicho maanisha.

Yakupasa kuzingatia kiini cha post ili uweze kuelewa mambo..!
 
YANGA = Mafanikio ni kuhakikisha kutwaa ubingwa wa ligi Kuu Tanzania bara mara nyingi iwezekanavyo . Hivyo kujipa nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa bila kuzingatia kwamba tunachukua ubingwa au la.!

AzamFC = Mafanikio kwao ni kukamata angalau nafasi mbili za juu katika ligi Kuu Tanzania bara, ili waweze kushiriki michuano ya kimataifa kwa lengo la kutangaza na kupanua wigo wa club ya Azam Football na kufanikisha biashara za Azam Bakhresah.

Simba = Mafanikio ni kuhakikisha KUMKAMIA na KUMFUNGA Yanga kila msimu(Ndio maana hakuna mechi waliomfunga Yanga bila wao kwenda Zanzibar) , bila kuzingatia watafungwa au kutoa suluhu na timu nyinginezo.
Hivyo kuwafirahisha mashabiki wa Simba na kukwepa majukumu ya kulenga mafanikio ya kutwaa UBINGWA wa ligi Kuu Tanzania.

Yanga hata mkitwaa ubingwa mara mia tano...hauwasaidii chochote kwa sababu mkifika raundi ya pili tu mnatolewa kama itakavyokuwa jumamosi....Tutawacheka sana

Azam FC hao ni ndugu zetu...tunawaombea sana waendelee kujitahidi watafika mbali.

SIMBA ni timu ambayo imejaza vikombe na pesa zaidi kuliko klabu yoyote ya Tanzania kwa mwaka 2014
 
Ndugu, Hebu soma vizuri uweze kuelewa nilicho maanisha.

Yakupasa kuzingatia kiini cha post ili uweze kuelewa mambo..!

Wewe hio heshima unaitafuta ya Tanzania au ya wapi?

Kama ni Ya Tanzania heshima ni kumfunga mtani wa Jadi

Kama ni East Afrika au Afrika heshima hiyo Yanga hamnayo...bali ni Simba ndiyo ina heshima hiyo
 
Yaani wewe unailinganisha yanga na Man U

Yanga wana mapato gani
Si mnampigia magoti kanjibhai nyie?
Kama ni heshima sisi tunaipata kwa kuwapiga mara zote tukikutana.....
Kama ni heshima unajua nani anaheshimika sasahivi mtaani

Ngoja nikusaidie basi kuweka kuchambua mawazo ya member wenzako.

Kutokana na nilicho kiandika, Nilikuwa Najaribu sana kukuelewesha tena hata kwa kutumia huo mfano wa Man United...

Nilikuwa nataka kukufahamisha kuwa heshima ya Yanga na club nyinginezo zozote zinazojielewa, huletwa kwa kutwaa UBINGWA mara nyingi kadri inavyowezekana. Heshima na hadhi walizokuwa nazo timu kubwa unazozijua wewe ni lazima ziwe zimeletwa IDADI YA VIKOMBE KABATINI.

Nenda katika makabati ya timu kama
YANGA na BAYERN MUNCHEN
utakuta hakuna timu nyingine katika ligi hiyo yenye idadi hiyo ya MAKOMBE (recently) kiasi hicho ..!

Nilitumia mfano wa man u kutujulisha kuwa licha ya kuwa na fedha za kutosha tena zaidi ya thamani ya u bingwa bado wanatambua kwamba kuchukua UBINGWA ni heshima ilioje.
 
Klabu inayojielewa wanachama wake hawajidhalilishi kwa kumpigia magoti Kiongozi mmoja bali kuna wengi wenye uwezo huo.Mimi siku timu ninayoishabikia wanachama wakimpigia magoti kiongozi ndio mwisho wangu kuishabikia. Timu zinazojielewa hiyo timu yako inayomtegemea mtu mmoja haipo.Ni genge la madhalili wasioweza kufikiri wenyewe.
 
Wewe hio heshima unaitafuta ya Tanzania au ya wapi?

Kama ni Ya Tanzania heshima ni kumfunga mtani wa Jadi

Kama ni East Afrika au Afrika heshima hiyo Yanga hamnayo...bali ni Simba ndiyo ina heshima hiyo

Na ndio maana nikasema kuna tofauti kubwa sana ya jinsi kila timu inatafsiri MAFANIKIO na HESHIMA.

Kama wewe ni mshabiki mzuri sana wa soka na lazima utakuwa umepitiapo katiba za timu yako na ile ya YANGA FC.

Katika katiba yetu tumeainisha kuwa Lengo la ushiriki wa club katika ligi Kuu ni kutwa ubingwa tu na si vinginevyo.!

Katiba inaeleza wazi kuwa Heshima na Hadhi ya klab inatokana na kufanya vizuri katika ligi.
(kumbuka: kufanya vizuri ni kutwaa ubingwa)

Labda mtuambie wenzetu kama mmebadilisha katiba ili muingize kipengele cha kudefine mafanikio kama kumfunga YANGA FC.
 
Ngoja nikusaidie basi kuweka kuchambua mawazo ya member wenzako.

Kutokana na nilicho kiandika, Nilikuwa Najaribu sana kukuelewesha tena hata kwa kutumia huo mfano wa Man United...

Nilikuwa nataka kukufahamisha kuwa heshima ya Yanga na club nyinginezo zozote zinazojielewa, huletwa kwa kutwaa UBINGWA mara nyingi kadri inavyowezekana. Heshima na hadhi walizokuwa nazo timu kubwa unazozijua wewe ni lazima ziwe zimeletwa IDADI YA VIKOMBE KABATINI.

Nenda katika makabati ya timu kama
YANGA na BAYERN MUNCHEN
utakuta hakuna timu nyingine katika ligi hiyo yenye idadi hiyo ya MAKOMBE (recently) kiasi hicho ..!

Nilitumia mfano wa man u kutujulisha kuwa licha ya kuwa na fedha za kutosha tena zaidi ya thamani ya u bingwa bado wanatambua kwamba kuchukua UBINGWA ni heshima ilioje.

Nyie mna kikombe gani recent?
 
Na ndio maana nikasema kuna tofauti kubwa sana ya jinsi kila timu inatafsiri MAFANIKIO na HESHIMA.

Kama wewe ni mshabiki mzuri sana wa soka na lazima utakuwa umepitiapo katiba za timu yako na ile ya YANGA FC.

Katika katiba yetu tumeainisha kuwa Lengo la ushiriki wa club katika ligi Kuu ni kutwa ubingwa tu na si vinginevyo.!

Katiba inaeleza wazi kuwa Heshima na Hadhi ya klab inatokana na kufanya vizuri katika ligi.
(kumbuka: kufanya vizuri ni kutwaa ubingwa)

Labda mtuambie wenzetu kama mmebadilisha katiba ili muingize kipengele cha kudefine mafanikio kama kumfunga YANGA FC.

We endelea kukomaa na katiba ukivumilia maumivu ya kubakwaa

Unachooonga sana kama kawaida yenu

Uwanjani hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mnapokuwa na Team inamwabudu huyu Mhindi usitegemee hata akili za mashabiki zitakuwa ni nzima. mi huwa naona watu wakipiga magoti kumwabudu Mungu. Lakini Mayanga huwa yanamwabudu Manji na ndo maana anachotaka yeye ndo huwa. Hakuna ambaye huwa anamhoji Manji. Si mwanaume si mwanamke. Manji akisema simtaki flan basi huyo mtu anatolewa akisema Yanga niifanye kitu flan anaifanya anadhindwa anapokutana na Simba tu na hili ndil linalomnyima usingizi Manji. Hapa hawa wazee wanapiga magoti wakilia na kuomboleza Manji apewe tena Uenyekiti maana bila yeye Team itakufa.

Magot-Manji-baki-YASC-AGM190114.jpg
 
Klabu inayojielewa wanachama wake hawajidhalilishi kwa kumpigia magoti Kiongozi mmoja bali kuna wengi wenye uwezo huo.Mimi siku timu ninayoishabikia wanachama wakimpigia magoti kiongozi ndio mwisho wangu kuishabikia. Timu zinazojielewa hiyo timu yako inayomtegemea mtu mmoja haipo.Ni genge la madhalili wasioweza kufikiri wenyewe.

Unapozungumzia masuala ya wanachama katika soka la siku hizi Unaonekana bado machamga kwenye tasni ya football.

Wanachama kazi yao ni kupanick tu wahana power asilimia kubwa katika maamuzi ya klabu.

Nadhani ulisikia kilele za wanachama wa Yanga juzi . Je zimezaa matunda.

Nataka ujue kwamba wanachama wa yanga wataendelea kufanya hivyo hadi kiama kifike mimi binafsi naona hilo na kama kushindwa kuwa na power ya kutosha klabuni.
Na ni vyema sana kwangu.

Sitaki maamuzi ya wanachama ya shamiri klabuni.
Nataka kuona viongozi wakiamua maamuzi bila kuingiliwa.
Kwa kufanya hivyo itatuwezesha kuendelea kuwa kichwa cha haka ka ligi kenu ka Tanzania.
 
Back
Top Bottom