Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Kuelekea pambano la kesho,timu zote zipo kwenye maandalizi mazito ili kupata matokeo mazuri
 

Attachments

  • 1425755088246.jpg
    34.9 KB · Views: 447

Huna akili mazafanta!!!
 
Shikamoo Chambo81.

Marhaba…yanga oyeeeee!!!napenda ibrahim ajibu acheze na tuwafunge!!!maana dogo mvuta bange wa buguruni malapa nae kashajiona fundi wakati mpira wake wa kubahatisha…nafikiri atakua anamjua kipanya malapa alivyotamba msimu mmoja na mpira wake wa kichawi na kupotea mazima na kurudia kazi yake ya ukonda kwenye ma dcm ya gongo la mboto!!
 
Hivi simba wanaakili.kweli wao wanawaza kufunga yanga tuu ubingwa no,kweli mwendawazimu mpe mkate.
 
Hivi simba wanaakili.kweli wao wanawaza kufunga yanga tuu ubingwa no,kweli mwendawazimu mpe mkate.

Mkuu ukishakaa kwenye kiti cha kinyozi,tulia kabsaa unyolewe.!!
 
imani ni kuwa na hakika................
 

Sioni sababu ya YANGA KUTOKUFNGWA GOLI 3 LEO.
 
Kama kawaida yanga ni wahitimu wa division 5 ya Mulugo lazima Warisit tena matokeo yao.
Send off ya pluijim imefika, saa hii familia yake ipo Stend.
 
Kumekucha .,Simba sc moyo unandunda.....

Mnatamani isifike saa 10.
 
Kumekucha .,Simba sc moyo unandunda.....

Mnatamani isifike saa 10.

Kabisa mkuu wanajuta kufika leo!!wanatamani leo ingekua jana na jana ingekua juzi na leo isingefika…!!walifikiri leo ni mbali sana!
 
Tanzania itakuwa kimya kwa muda wa dakika 90 , mnamo tar 8 march.

Live updates zote zitakuwa humu ndani.

Majadiliano, uchambuzi, na mengineyo...

Jiachie...!usisahau ku_subscribe.

Watanzania hawatakuwa kimya ila kelele ndio zitaongezeka
 
Ni vigumu sana maji kupanda mlima yaani mkulima yanga kumfunga mfalme simba ...utamaduni unaendelea na utaendelea milele.. na endapo kama itakua sivyo basi nitakuA nimeudanganya umma ..so mods ni ban kwa dk 90 walizocheza kwa heshima zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…