Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Na ndio maana mna miaka lukuki bila hata harufu ya ubingwa.
Mnajivunia damu changa, hamjui kuwa mpira umebadilika siku hizi. Muulizeni Arsene Wenger na watoto wake washule alichukua kombe gani, siku hizi ndo kashituka kawasogeza Ozil na Sanchez.

Taja miaka lukuki mingapi?
Acha kukurupuka toka kuzimia uwanjani, umepewa glucose umeamka kuja kutapika pumba hapa.
Mwaka 2012 Simba kachukua tena kwa kuwakojolea vitano...raha sana.
Mwaka 2013 mkajitutumua, mwaka 2014 kachukua Azam, sasa hapo miaka lukuki iko wapi?
Kimenasa wanazunguka nacho kama mbwa vile....hahahaaaaaaaaa
 
Mapunda yupo Manyika Peter, Shariff Cassilias.Nyie hao wazee waliobakia watacheza misimu mingapi? Na katika kudhihirisha kwamba kwa vijana pia hamtuwezi Simba B 4 Yanga B 2.Hii ni pambano lililotangulia harusi yetu.

Wakati R. Madrid wakichukua UCL wachezaji wao asilimia kubwa walikuja wanaujua mpira. Barca wameongeza Zimwi Suarez pale likiwa limeiva tayari. Man C wamechukua EPL kwa taratibu hizohizo. Mwaka huu Chelsea atanyanyua EPL kwa utaribu huohuo wa kusajili vilivyoiva. Msipojitafakari mtakuwa mnacheza mechi za ndani tu huko nje mtatuachia sisi tuwawakilishe.
 
Watamuua Kanjibhai anatoa pesa wakiingiza mguu kipigo.

Mkuu anajitakia mwenyewe, ye haoni wenzie ngozi nyeupe waliko? wanakula bata tuu wakichekelea soka saffiiii. Kaburu, dewji, h poppe, kleb etc. Ahamie tu aje apate radha ya 5 Msimbazi co kule bondeni.
 
Kuna tofauti ya kuwa na wachezaji asilimia 80 wazee na wachezaji mchanganyiko.
 
Taja miaka lukuki mingapi?
Acha kukurupuka toka kuzimia uwanjani, umepewa glucose umeamka kuja kutapika pumba hapa.
Mwaka 2012 Simba kachukua tena kwa kuwakojolea vitano...raha sana.
Mwaka 2013 mkajitutumua, mwaka 2014 kachukua Azam, sasa hapo miaka lukuki iko wapi?
Kimenasa wanazunguka nacho kama mbwa vile....hahahaaaaaaaaa

Kwani hukufundishwa umoja na wingi au shule uliyosoma mtaala wake ni wa Iraq?
 
Taja miaka lukuki mingapi?
Acha kukurupuka toka kuzimia uwanjani, umepewa glucose umeamka kuja kutapika pumba hapa.
Mwaka 2012 Simba kachukua tena kwa kuwakojolea vitano...raha sana.
Mwaka 2013 mkajitutumua, mwaka 2014 kachukua Azam, sasa hapo miaka lukuki iko wapi?
Kimenasa wanazunguka nacho kama mbwa vile....hahahaaaaaaaaa

Na mimi nawashangaa sana, yaani tukiwapaga dozi huwa wanapoteza na kumbukumbu! Wao wamechukua mara moja tuu toka tuwalambishe tano na kubeba ndoo!
 
Kanjubhai alidai anataka kurudisha tano! Atasubiri sana, angeachia tu ngazi, maana nionavyo, hii simba ya watoto ikikomaa sana na uongozi ukitulia, mkono mwingine hauko mbali!

Akitaka radha ya 5 aamie mcmbaz, team co kabila.
 
Uliwahi kujiuliza Oliver Khan mikono mitano mpaka anastaafu akiwa kwenye ubora wake alikuwa na miaka mingapi?

Man of the match alikuwa Mapunda, mapinduzi cup alipangua penati kadhaa, hivyo jibu lipo wazi kabisa kuhusu ubora wake, makipa huongezeka ubora umri unaposogea, ila kwa Tz naona ni makipa wa simba tuu ndio wanaongezeka ubora!!
 
Uliwahi kujiuliza Oliver Khan mikono mitano mpaka anastaafu akiwa kwenye ubora wake alikuwa na miaka mingapi?

Nyie mbumbumbu kweli mmesema Yanga timu ya wazee, nikawauliza Mapunda gage inasomaje. Mmenibadilikia tena ama kweli wageni wa ushindi utawajua tu.
 
Ni ule mwaka tuliowapiga tano kwa nunge mechi ya mwisho wa ligi. Je wakumbuka ni mwaka gani? Na baada ya hapo kwani nyie mmechukua ligi mara ngapi?

Nimechukua ndoo mara 3 tangu wewe uchukue mara ya mwisho....!
 
haka karaisi kao kamesapoti hadi kamechemsha

Mimi naombea wasimuondoe kwanza tuwachape tu kila tukikutana popote pale hata iwe kwenye tamasha la matumaini au la CCM yao yaani tuwachape tuuuuuu mpaka tukose hata nguvu ya kubishana.
Maana ushabiki nao una mwisho wake, huwezi kumzodoa taahira kwa kufeli Mtihani wakati ndivyo alivyo...
 
Nimechukua ndoo mara 3 tangu wewe uchukue mara ya mwisho....!

Ebu nitajie hiyo mara tatu ni lini na lini? Unakumbuka tano zilikuwa mwaka gani?
Vipigo vibaya sana, mbona net inapotea hivyo! Kaangalie tena kumbukumbu! Tulikupeni dozi 2012.
 
Back
Top Bottom