barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Simba kiukweli wanaitesa yanga,bora yangu niko azam sina presha
Hamna kitu kama hicho, umeenda mkopo wewe, acha kudanganya watu wazima hapa! Pole na kichapo cha leo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba kiukweli wanaitesa yanga,bora yangu niko azam sina presha
El merrekh walikupa Raha...?
Na ndio maana mna miaka lukuki bila hata harufu ya ubingwa.
Mnajivunia damu changa, hamjui kuwa mpira umebadilika siku hizi. Muulizeni Arsene Wenger na watoto wake washule alichukua kombe gani, siku hizi ndo kashituka kawasogeza Ozil na Sanchez.
Mapunda yupo Manyika Peter, Shariff Cassilias.Nyie hao wazee waliobakia watacheza misimu mingapi? Na katika kudhihirisha kwamba kwa vijana pia hamtuwezi Simba B 4 Yanga B 2.Hii ni pambano lililotangulia harusi yetu.
Watamuua Kanjibhai anatoa pesa wakiingiza mguu kipigo.
Mwaka upi mlichukua ubingwa...?
Kwani Mapunda ana umri gani jamani?
Taja miaka lukuki mingapi?
Acha kukurupuka toka kuzimia uwanjani, umepewa glucose umeamka kuja kutapika pumba hapa.
Mwaka 2012 Simba kachukua tena kwa kuwakojolea vitano...raha sana.
Mwaka 2013 mkajitutumua, mwaka 2014 kachukua Azam, sasa hapo miaka lukuki iko wapi?
Kimenasa wanazunguka nacho kama mbwa vile....hahahaaaaaaaaa

Kanjubhai alidai anataka kurudisha tano! Atasubiri sana, angeachia tu ngazi, maana nionavyo, hii simba ya watoto ikikomaa sana na uongozi ukitulia, mkono mwingine hauko mbali!
Kwani Mapunda ana umri gani jamani?
Uliwahi kujiuliza Oliver Khan mikono mitano mpaka anastaafu akiwa kwenye ubora wake alikuwa na miaka mingapi?
Uliwahi kujiuliza Oliver Khan mikono mitano mpaka anastaafu akiwa kwenye ubora wake alikuwa na miaka mingapi?
haka karaisi kao kamesapoti hadi kamechemsha
Usihofu mkuu mdau tena ukose.Mkuu ukiipata nishtue.
Tutawafunga sanaaaaaa
Nimechukua ndoo mara 3 tangu wewe uchukue mara ya mwisho....!