Ligi kuu bara: Yanga 3-1 Mtibwa, Mbeya City 0-2 Simba, Stand UTD 1-0 Azam FC

Hajib + Kichuya ni Balaa Kubwa sana Tanzania wa sasa. Na pia Nadhan Mavugo + Hajib + Kichuya litakuwa Balaa Kubwa sana za A. Mashariki
 
Acha kuongea porojo. ...simba taamu sasa hv
 

Ni kweli ligi bado mbichi sana.. Maana sasa tumebakiza mechi 22 ligi iishe [mechi 17 ili tutangaze ubingwa].
Ni kweli pia Simba msimu uliopita tulikua na kikosi kizuri.. na tulianza vizuri msimu uliopita.. Ila msimu huu tuna kikosi kizuri zaidi.. na tumeanza ligi vizuri sana.. ndo mana tunakila sababu ya kutembea vifua mbele kama tumepingwa ngumi ya mgongo.
 
Uchezaji wa simba ni mzuri kuliko wa Yanga. Mie yanga lkn uchezaji wao utadhani hawajatoka kushiriki mashindano ya kimataifa
 
Simba yatosha,nijaona wa kumzuia.tunauwezo wa kufunga mechi zote.ukiacha ile ya mbeleko fc
 
Uchezaji wa simba ni mzuri kuliko wa Yanga. Mie yanga lkn uchezaji wao utadhani hawajatoka kushiriki mashindano ya kimataifa


Ki mpira yanga hawajawah kucheza vizur miaka ya karibuni mara ya mwisho ni kipindi cha wakina mwamba kizota baada ya hapo ni madudu tu
 
mkuu hili povu umetumia sabuni gani OMo au Foma gold?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…