Ligi kuu bara: Yanga 3-1 Mtibwa, Mbeya City 0-2 Simba, Stand UTD 1-0 Azam FC

Simba yatosha,nijaona wa kumzuia.tunauwezo wa kufunga mechi zote.ukiacha ile ya mbeleko fc
Hivi ni miaka mingapi sasa mmegeuka kuwa club ya kushangilia wageni?

Nawaombea msimu huu angalau mshike nafasi ya pili maana hao wachezaji wenu wamechoka kupanda mabasi angalau waonje radha ya ndege.
 
Sio kama msimu huu
 
Ukiwa bar ya mwana yanga tabu sana,kaweka mechi ya yanga badala ile ya mabingwa wa 2016-2017
 
Nimpongeze Chirwa kwa kuonja raha leo.Ni mshukuru Mungu kwa kutujaalia Watanzania kuwa na vijana wazuri kabisa i.e kichuya, Ajibu na Shabalala.Hikika tukiendelea kuwatia moyo hawa vijana tunaweza kufuta jina la kichwa cha Mwendawazimu.
 
Hivi ni miaka mingapi sasa mmegeuka kuwa club ya kushangilia wageni?

Nawaombea msimu huu angalau mshike nafasi ya pili maana hao wachezaji wenu wamechoka kupanda mabasi angalau waonje radha ya ndege.
sawa geza ulole fc a.k.a mkodisho fc
 
Haha.. Asante sana kijana wetu Haruna Chanongo.. Mpaka sasa Yanga Yetu 1 Mtibwa 1
 
Yanga ilipaswa kushuka daraja kuna timu zinashuka daraja kimakosa manji awekeze kwa kina prison na mbao fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…