Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni miaka mingapi sasa mmegeuka kuwa club ya kushangilia wageni?Simba yatosha,nijaona wa kumzuia.tunauwezo wa kufunga mechi zote.ukiacha ile ya mbeleko fc
Sio kama msimu huuhii ligi bado mbichi sn, bt huwa napatwa na shida kdogo na mashabiki hasa wa simba kuamin kwamba tayari wamechukua kombe kwan wana kikos kzuri, my take hata msmu uliopta simba walikuwa vzuri sn na walfanya vyema kila kombe huku wakiwa na maneno hayahaya wakiongozwa na manara at ze end....tuache ushbk ligi bado mbichi..sn
ukichanganya na la chirwa geza ulole fc mnaongza kwa bao 3Simba wamepewa mawili hapa Mbeya.
Kiaina inakuuma wanavyoborongaYanga achieni wengine mwaka huu bana.....kila mwaka mwataka nyie tu?
ligi ya mtu mmoja inaboa!!
sawa geza ulole fc a.k.a mkodisho fcHivi ni miaka mingapi sasa mmegeuka kuwa club ya kushangilia wageni?
Nawaombea msimu huu angalau mshike nafasi ya pili maana hao wachezaji wenu wamechoka kupanda mabasi angalau waonje radha ya ndege.
Hawa jamaa ndo wanajaribu kuonesha uthubutu wa kumzuia Mnyama mkali mwituni, kuchukua ubingwa akiwa kabakiza mechi 5 mkononi.Stand United 1
mwaka wa Simba huu. hakuna ubishi!Haha.. Asante sana kijana wetu Haruna Chanongo.. Mpaka sasa Yanga Yetu 1 Mtibwa 1
hakuna wa kuizuia Simba msimu huumwaka wa Simba huu. hakuna ubishi!