Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkoa wetu tuko juuShinyanga nao wanefufuka.... Big up mkoa wangu
Simba kiukweli ndoo ya kwao
Umesahau kuna mechi ya pili mkuu?simba ikipiga stand United wana beba ndoo...
Jamaa wamekutana naye anashangilia muda huu usiku akishangilia kuelekea kibaha kwa miguu nahisi atakutana na pogba ili washangilie vizuri...[emoji28] [emoji23]Chirwa bado anashangilia goli mpaka muda huu uwanjani walinzi wanasema kapata uchizi
Umesahau kuna mechi ya pili mkuu?
hyo itakuwa ndoo ya maji.km unamaanisha kubeba kombe hlo suala bado sana.msimu uliopita simba walikuwa wanaongoza kwa utofaut wa point tisa.wakagoma wakasema hawachez had yanga wamalizie vporo vya mechi.kilichotokea nafas ya pili waliisikia tu.

Kweli kabisa mkuu labda ndoo ya kubebea kinyesi kule mahabusu maarufu kwa jina la mtondoo lkn kama ni ubingwa bado sana, nakumbuka Mkapa alisema watanzania tuko kama manyumbu nikweli kwani tu wasahaulifu sana msimu uliopita simba wakiwa mbele kwa pointi 9 mzungu wao akaenda mpaka kwa Nape akigomea kuebndelea na game mpaka Yanga na Azamu wamalize vipolo matokeo yake wenye nafasi zao waliporudi akawapisha[emoji28]
hyo itakuwa ndoo ya maji.km unamaanisha kubeba kombe hlo suala bado sana.msimu uliopita simba walikuwa wanaongoza kwa utofaut wa point tisa.wakagoma wakasema hawachez had yanga wamalizie vporo vya mechi.kilichotokea nafas ya pili waliisikia tu.
Mashabiki na viongozi wa Simba wanachonga mno wasipo angalia nafasi ya Azam ambayo ni ya pili anaweza chukua Stand United na Simba wakabaki nafasi yao ya kila mwaka inajulikana
Kumbe bingwa kasha patikana? Sasa hizo mechi zinazo endelea ni za nini?Endeleeni Kuweweseka Tu Na Ndoto Zenu Za Alinacha...
Mara Hii Mutajiangalia Sana Lakini Simba Ni Bingwa tu...