Ligi kuu bara: Yanga 3-1 Mtibwa, Mbeya City 0-2 Simba, Stand UTD 1-0 Azam FC

Azam pamoja na kuwa na kopo la makocha inapigwa kila siku
 
Simba kiukweli ndoo ya kwao

hyo itakuwa ndoo ya maji.km unamaanisha kubeba kombe hlo suala bado sana.msimu uliopita simba walikuwa wanaongoza kwa utofaut wa point tisa.wakagoma wakasema hawachez had yanga wamalizie vporo vya mechi.kilichotokea nafas ya pili waliisikia tu.
 
Umesahau kuna mechi ya pili mkuu?

hyo itakuwa ndoo ya maji.km unamaanisha kubeba kombe hlo suala bado sana.msimu uliopita simba walikuwa wanaongoza kwa utofaut wa point tisa.wakagoma wakasema hawachez had yanga wamalizie vporo vya mechi.kilichotokea nafas ya pili waliisikia tu.

1. Simba alianza kugawa dozi katika maandalizi ya ligi.. Mkasema anaonea timu za mchangani, ngoja ligi ianze

2. Ligi imeanza kawagonga Ndanda goli za kutosha.. Mkasema oooh Ndanda si levo yenu.. Ngoja mkutane na Azam au Mtibwa ndo kipimo chenu

3. Akamgonga Azam.. Akamgonga Mtibwa.. Mkaanza, mmebahatisha.. Alafu kwanza mpo nyumbani.. Mkienda mikoani vipigo vitawahusu

4. Leo tumemfunga Mbeya tukiwa ugenini.. Mmeanza tena ngoja mkutane na Stand, Mara hata mwaka jana mlianza hivyo hivyo..

Inabidi Mkubali tu.. Simba ya msimu huu ni Simba Mabadiliko.. Na mtabaki hivyo hivyo kutafuta vijisababu kila tunaposhinda huku sisi tukiendelea kukusanya pointi 3 Kila mechi.. Najua mtakuja kushituka tushawaacha gepu la pointi 12 huku tukikabidhiwa ubingwa.
 
hyo itakuwa ndoo ya maji.km unamaanisha kubeba kombe hlo suala bado sana.msimu uliopita simba walikuwa wanaongoza kwa utofaut wa point tisa.wakagoma wakasema hawachez had yanga wamalizie vporo vya mechi.kilichotokea nafas ya pili waliisikia tu.

Kweli kabisa mkuu labda ndoo ya kubebea kinyesi kule mahabusu maarufu kwa jina la mtondoo lkn kama ni ubingwa bado sana, nakumbuka Mkapa alisema watanzania tuko kama manyumbu nikweli kwani tu wasahaulifu sana msimu uliopita simba wakiwa mbele kwa pointi 9 mzungu wao akaenda mpaka kwa Nape akigomea kuebndelea na game mpaka Yanga na Azamu wamalize vipolo matokeo yake wenye nafasi zao waliporudi akawapisha[emoji28]
 
Yanga Bwana! Hivi hamkujua kuwa gap la point 9.Yanga alikua na mechi 12 hajacheza?Hata tungeshinda zote na Yanga kushinda zote mnetuzidi point.Sisi tuharibu mwanzoni kwa kutoa droo nyingi.
 
Magazeti yanasemaje kuhusu huu "mwendokasi" wa Simba S.C..
1476332722270.jpg

1476332731969.jpg

1476332750659.jpg

1476332760976.jpg
 
Kweli kabisa mkuu labda ndoo ya kubebea kinyesi kule mahabusu maarufu kwa jina la mtondoo lkn kama ni ubingwa bado sana, nakumbuka Mkapa alisema watanzania tuko kama manyumbu nikweli kwani tu wasahaulifu sana msimu uliopita simba wakiwa mbele kwa pointi 9 mzungu wao akaenda mpaka kwa Nape akigomea kuebndelea na game mpaka Yanga na Azamu wamalize vipolo matokeo yake wenye nafasi zao waliporudi akawapisha[emoji28]

Hivi Nyie Mulikuwa Munafatilia Ligi Kweli au Munasikia Juujuu Tu Hapa JF kuwa Simba aliongoza Kwa Points 9???
Kwa Kuwasaidia Tu Simba Hakuongoza Points 9 kwa Reality bali aliongoza Kwa Pseudo-Leading!
Ni Kwamba Aliongoza Kwa Michezo na Wala si Points! Kwani iwapo Yanga Angelikuwa Kacheza Michezo Sawa na Simba basi angelikuwa Yeye Ana points Nyingi Kuliko Simba! Lakini Kwavile Simba Alikuwa Kashacheza Michezo Mingi Kuliko Yanga, Ndiyo Simba Aliongoza Kwa Points ambazo ni Za Uongo uongo...

hyo itakuwa ndoo ya maji.km unamaanisha kubeba kombe hlo suala bado sana.msimu uliopita simba walikuwa wanaongoza kwa utofaut wa point tisa.wakagoma wakasema hawachez had yanga wamalizie vporo vya mechi.kilichotokea nafas ya pili waliisikia tu.
 
Mashabiki na viongozi wa Simba wanachonga mno wasipo angalia nafasi ya Azam ambayo ni ya pili anaweza chukua Stand United na Simba wakabaki nafasi yao ya kila mwaka inajulikana

Endeleeni Kuweweseka Tu Na Ndoto Zenu Za Alinacha...
Mara Hii Mutajiangalia Sana Lakini Simba Ni Bingwa tu...
 
Kumbe bingwa kasha patikana? Sasa hizo mechi zinazo endelea ni za nini?

Mpira wa Tanzania una mambo mengi sana zaidi ya kucheza uwanjani.
 
Back
Top Bottom