Ligi Kuu Bara: Yanga FC 0 Vs 1 Ruvu Shooting

90+4'

Wanakwenda kwa kasi Ruvu Shooting, huku wakionyesha kiwango safi na kuwaziba kabisa washambuliaji wa Yanga.

Namna gani hapa Yanga wanashindwa kupenya lango la Ruvu!

Bado Sekunde tu, Ruvu ya Kiwango mpira umalizike...!

Naaaam...Umekwishaaaaaaaaaaa[emoji23][emoji23]
 
Mabingwa watarajiwa msimu huu wanaanza na vichapo tu

Barca
Chelsea
Yanga
Munich drw
 
Nina uhakika yanga msimu huu hautamkalia vizuri kama msimu uliopita. Si kwa sababu ya mechi ya leo la hasha kutokana na kocha kukwama katika baadhi ya mipango ya kiufundi.
 
Hahahahahahahaha
Ligi bado mbichi tutashinda mechi zijazo, kufungwa ni jambo la kawaida tu

Alisikika kichaa mmoja akisema
Mbona unaongea kwa sauti ya chini umesema Mtashinda nini kwenye mechi zijazo?

Huyu aliyesikika atakua ndiye mc wa hii timu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…