Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Mbao FC 2 vs Simba SC 3 CCM Kirumba

Hujuma hizi dakika 7 duuh
Mbao walijidanganya kwa kulala lala hovyo ili kupoteza muda kumbe hawajui team inayosaka ushindi kwa hali na mali dakika za majeruhi ndio inacharuka zaidi maana hawana chakupoteza

Anyways imewa cost na Simba walipopata goal moja tu nilijua lazima watoe draw au washinde
 


Asante Mbao Bashite rApa
kuongoza 2 hadi DK 80 mnakuja kufungwa ama kweli nyie ni mabashiteeeRAPA[/]
 
Bora isee,maana tunapigana huku mtandaoni na keptain wetu sembo katutoroka.
 
Hivi mkuu GENTAMYCINE haya unayoyaandika huwa ni ya ukweli au unatania?
 
Kipa asipotajirika kwa ofa alizotoa leo kwa simba sijui maana naona kuna dau zuri sana aliloandaliwa.
mkuu umeona goli la kwanza la mbao. Manyika nae ana dau analisubiri????
πŸ˜‰πŸ™πŸ˜›
 
naomba kujua game zilizosalia za YANGA SC....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…