Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Mbao FC 2 vs Simba SC 3 CCM Kirumba

Teh naona leo,watu wanakula mbaooo za kutosha huko.na badoo juzi tu mmepewa miwaaa..
 
Jamani watu wa vikatuni eeehhh tunahitaji katuni nzuri ya Mbwa Koko anayejiita "Lion" anavyokimbizwa na mbao jamani wamezoe ushindi wa msimu halafu kelele nyiiiiiingi na leo mtamtambua MBAO nyambaf kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…