Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba Huyo Anaolewa Mahali IlishatolewaAcha umakumaku wewe
Mnakalia mbao leo bila ganzi,Acha umakumaku wewe
Inaelekea upo kwenye cku zakoSimbaaa haooooo wanaolewaaaa simba haaooooo wanaooolewaaaaa mahariiiii washatolewaaaaaa mahariiii washatolewaaaaaa........
Kama wewe ulivoolewaSimba Huyo Anaolewa Mahali Ilishatolewa
Yule beki wa Mbao Ahsante Qwasa anakadi 3 za njano.Na bado hatujacheza ma Toto Afrika, kazi kweli kweli sijui safari hii nani anacheza ila ana kadi za njano tatu, ngoja tukapekue mafaili.
Thank you shem leo nimevurugwa aisee, nimekaa tu nafuatilia press conference jasho limenitoka kila sehemu ya mwiliHahahahaaaaa pole sana rafiki yangu.
Hahahaha wafariji tu hao mbumbu fcYule beki wa Mbao Ahsante Qwasa anakadi 3 za njano.
Aaaaaah jamaniiiiiii eeee eeeh!! Ustaarabu basi, yaani Bashite tena?mbao 2 simba bashite