Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Simba 2 vs Stand United1

Simba bwana, yani mnapigwa nao sekunde ya 18!?Safi stand umewatengenezea rekodi
 
This is Simba..this is Simba nani wa kuizuiaaaa..this is Simba bhana' in Sunday Manara's voice hah hah hah jamaniii Ukiwa mshabiki wa Simba ni raha sana dah na lazima mwafulani aelewe mbio hizi mpaka ubingwa hah hah mbona kazi ipoooo
 
Dak 55 Bado Simba anaongaza 2-1 Stend United
 
Game za simba hazina msisimko kabisa,hadi kipindi cha pili pamepoa kama ndio dakika ya kwanza ya kipindi cha kwanza hahahaaa

Hii yote sababu mashabiki wake wamekata tamaa,ila niwape hongera walioshtuka mapema kuwa mwaka huu hawaondoki na kitu na bingwa ni yuleyule Dar Young Africans S.C
 
Nimekupenda bila pesa.
 
Back
Top Bottom