Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli kabisaJezi zao si mzuri zipo kama zinafanana
Mapumziko: Simba 2-Stand 1Hadi muda huu Simba amekabwa kooni
Amka usingizini wacha kuotaHadi muda huu Simba amekabwa kooni
Unapenda mkia sana kaa vzr upeweStand Funga Hao Mikia Fc,
Nimekupenda bila pesa.Game za simba hazina msisimko kabisa,hadi kipindi cha pili pamepoa kama ndio dakika ya kwanza ya kipindi cha kwanza hahahaaa
Hii yote sababu mashabiki wake wamekata tamaa,ila niwape hongera walioshtuka mapema kuwa mwaka huu hawaondoki na kitu na bingwa ni yuleyule Dar Young Africans S.C