Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Simba 2 vs Stand United1

Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Simba 2 vs Stand United1

Ila mkuu ngoja tu nikupongeze. Wewe ni shabiki wa ukweli wa Simba na unajielewa sana.
Tumekuwa pamoja ktk mechi zote sijawahi kukuona ukipanick wala kutoa matusi.
Hongera

BTW ubingwa ni wetu Yanga,hilo halina ubishi [emoji4]
Mkuu bado ndoto zako hazijafika mwisho tu,zinduka kushakucha!
 
Ahsante Nifah..tupo pamoja..ubingwa mwaka huu sisi kama simba tumewagomeaaaa iwe isiwe, kumbuka una mbao lazima uchezee na kesho una-draw na Mbeya City..kazi ipo hapo
Sasa subiri hiyo kesho tutawaonesha Yanga mambo yetu.
Mbeya City tunamchapa bila huruma,Mbao ndio tuna hasira nao balaaaaaa.
Mechi ya kesho itawafunga midomo,tukutane hapahapa [emoji39]
 
Sasa subiri hiyo kesho tutawaonesha Yanga mambo yetu.
Mbeya City tunamchapa bila huruma,Mbao ndio tuna hasira nao balaaaaaa.
Mechi ya kesho itawafunga midomo,tukutane hapahapa [emoji39]
Yangu mie macho na masikio hah hah
 
Dak 88 Simba Bado anaongoza
 
Kuna timu nyingine sio za kushabikia kabisaaa mnafungwa ndan ya sekunde hiyo timu au ushuzi...
Unaijua timuvinaitwa mbao!!!
Iliwafanyaje hiyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mpira ni Dakika Dakika ya 17, Simba 0-1 Stend United.

Dak ya 24 Simba 1-1 Stend United

Simba 2-1 Stend United Juma Luizio tena .
********************
Mpira Mapumziko
******************
Kipindi cha pili kimeanza dak 47 Bado simba yupo mbele kwa 2-1.


MPIRA UMEKWISHA
********************
Simba 2-1 Stend United
************************

Naona wenye timu mmekata tamaa, msijali tutawawakilisha.
Ushindi mdogo! marginal win
 
Back
Top Bottom