harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Mkuu bado ndoto zako hazijafika mwisho tu,zinduka kushakucha!Ila mkuu ngoja tu nikupongeze. Wewe ni shabiki wa ukweli wa Simba na unajielewa sana.
Tumekuwa pamoja ktk mechi zote sijawahi kukuona ukipanick wala kutoa matusi.
Hongera
BTW ubingwa ni wetu Yanga,hilo halina ubishi [emoji4]