Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Simba Leo tumeshinda so vizuri kugombana kama ww ni simba mwenzangu uwe na shukrani timu ikifungwa unalalamika Leo tufurahi siku nyingine ndio utoe kasoro ridhika na kidogo ulichopota Kiongozi kama sisi tumeshinda tunalalamika je yanga wasemaje
Yaishie kiongozi Simba Oyee
Oyeeeeeeeeeeeeeee!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msikate tamaa wana yanga simba imewafunga kwa sababu mechi ilipangwa muda mbaya mlikuwa mnaona baridi kali sana.

Sasa mechi ijayo ongeeni na TFF ipangwe saa nane mchana mtashinda tu kwani simba kwenye jua Kali na joto Kali ni wabovu sana.

Mjipange tu.
 
Yanga wasahau ubingwa wa Tpl mwaka huu, fedha kiduchu, madeni kibao, ushirikiano wa wachezaji zero, hamasa imepungua na kipigo cha leo ndio mwanzo wa mtifuano wa nguvu!
 
Simba Leo tumeshinda so vizuri kugombana kama ww ni simba mwenzangu uwe na shukrani timu ikifungwa unalalamika Leo tufurahi siku nyingine ndio utoe kasoro ridhika na kidogo ulichopota Kiongozi kama sisi tumeshinda tunalalamika je yanga wasemaje
Yaishie kiongozi Simba Oyee
Kuna watu wameumbwa kulalama tuu! Huwa kuna ups n down n this life bana!

Binafsi pa1 na mapungufu kadhaa, nimefurahi kabisaaa! Congrats Simba fans wote! Hongereni kikosi kazi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom