Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,020
Nawaza wangefungwa upande wa pili leo ingekuwaje? Yule mcheza mieleka kesho angekuwa na mabegi yake pale airport.Yanga wamepambana, wmeufanya mchezo kutokua na nafasinyingi. Kwaujumla timu ilicheza vizuri kabwili hakua na kashkash Boxer amecheza vizuri alimkamata ipasavyo Okwi ila matokeo ya mpira ndivyo yalivyo Simba wamepata nafasi mbili wametumia moja. Yanga wamepata nafasi mmoja hawakuweza kuitumi.
Sent using Jamii Forums mobile app