Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Yanga wamepambana, wmeufanya mchezo kutokua na nafasinyingi. Kwaujumla timu ilicheza vizuri kabwili hakua na kashkash Boxer amecheza vizuri alimkamata ipasavyo Okwi ila matokeo ya mpira ndivyo yalivyo Simba wamepata nafasi mbili wametumia moja. Yanga wamepata nafasi mmoja hawakuweza kuitumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaza wangefungwa upande wa pili leo ingekuwaje? Yule mcheza mieleka kesho angekuwa na mabegi yake pale airport.
 
Mpira ni dakika tisini. Wamatufunga kwa taabu licha ya kusema kuwa wangetufunga zaidi ya goli sita. Yanga bado tishio na lazima nimpongeze kocha Zahera kwa kazi nzuri ya ukocha. Kwa kweli ameijenga timu kosa moja tu ni kuwa kipa wetu bado. Hongera sana Zahera.
 
Hadi mbebwe Na serikali ndio mshinde..Bashite amewapa usemi mlikuwa mnajifungia ndani ..Yanga ikiwa Na pesa huwezi kuifunga nyie fisi Na Bashite wenu
 
Nawaza wangefungwa upande wa pili leo ingekuwaje? Yule mcheza mieleka kesho angekuwa na mabegi yake pale airport.
Kwa hakika mbinu zake ziligoma kabisa, Ali ruhusiwa acheze mpira atakavyo uchebe ila ishu ilikua nafasi za kufunga, Zahera akipata wachezaji anao wataka Yanga itakua haikamatiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa aibu naona umekuja...tumewafirimba mabwana zenu Waarabu leo ilikuwa zamu yenu
Ona aibu kidogo kuhusu Mwarabu. Kwake kawafirimba goli tano.
Pili, unajua Yanga name Simba zimekutana nara ngapi TPL. Leo ilikuwa ya 102. Nani kafirimbwa sana?
 
Ninjaaaaaaaaa
Image_2737.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom