Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Oyeeeeeeeeeeeeeee!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msikate tamaa wana yanga simba imewafunga kwa sababu mechi ilipangwa muda mbaya mlikuwa mnaona baridi kali sana.

Sasa mechi ijayo ongeeni na TFF ipangwe saa nane mchana mtashinda tu kwani simba kwenye jua Kali na joto Kali ni wabovu sana.

Mjipange tu.
 
sikutegemea wachezaji wa simba kuzidiwa mpaka kuomba mpira uishe...na akina kagere kupoteza mda kwa kutingishia wanaume wowowo...dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga wasahau ubingwa wa Tpl mwaka huu, fedha kiduchu, madeni kibao, ushirikiano wa wachezaji zero, hamasa imepungua na kipigo cha leo ndio mwanzo wa mtifuano wa nguvu!
 
Kuna watu wameumbwa kulalama tuu! Huwa kuna ups n down n this life bana!

Binafsi pa1 na mapungufu kadhaa, nimefurahi kabisaaa! Congrats Simba fans wote! Hongereni kikosi kazi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…