Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

 
Aliniuliza mtoto wa darasa la awali
"HIVI SIMBA WALIWAHI KUIKIMBIA YANGA UWANJANI NA HAWAKURUDI KIPINDI CHA PILI?"
NILIMJIBU; NDIYO NA HISTORIA HIYO HAWATAIVUNJA.
Bora hao wanaume walijaribu angalau kipindi kimoja,na vipi wewe uliekimbia kuingiza timu kabisa uwanjani kwenye Kombe la Kagame?
 
Hivi ulitaka tukae chini tulie namuombe sana tuendelee na ukata wetu vinginevyo ndo tupate pesa kwa kocha huyu ata wale waliowapiga mikono miwili kwa mechi mbili wakija kwetu tutawapiga dozen nje ndani.
 
Jinga hilo mke unamfananisha na vyuraaa!muache aliwee mi km mke naondoka fastaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba MBOVU ya kina kichuya enzi hizo na kina ajibu ilikuwa inaifunga vizuri sana yanga ile ya kuchuana na al ahly ya kina kavumbagu. Tena hata tukiwa pungufu tulikuwa tunachapa tu, sasa wewe unajivuni kupigwa kimoja, kweli yanga mko vizuri.
 
Wanasheria wa Yanga wanaandaa rufaa kupinga ushindi wa Simba Feb 16, 2019.

Nadhani taratibu haziruhusu mchezaji mmoja kufunga goli moja kwa timu (Al Ahly) na kikundi chake cha ngoma (Yanga) kwa kutumia uwanja ule ule, wiki ile ile, mwezi ule ule, Mwaka ule ule, kipindi kile kile cha pili na kwenye goli lile lile.

Hii ni kama goli moja kuhesabika mara mbili, sheria haziruhusu. Haiwezekani goli moja lihesabike mara mbili kimataifa (al ahly) na ligi ya ndani (yanga).
 
Medi kagereee...Medi kagereee!!Medi kagereee!mwenzio niliblock mtu siku Simba ilivyofungwa tanooo!!!maana najua nisingelalaa!!wala kula kwa raha!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaona sasa mimi nilivyo muungwana wala sikukutania ulivyopigwa kumi?
Wewe kamoja tu jamani unanitoa roho?
Hahaaaaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Zahera mwenyewe anakubali,anasema anajua angefungwa tu Simba inacheza mpira mkubwa. Wewe unakomaa tu
Lakini hatii mpira kwapani. Ndiyo hoja. Kufungwa siyo issue, lazima itokee. Kwenye ligi tumekutana mara 102!
 
Unaona sasa mimi nilivyo muungwana wala sikukutania ulivyopigwa kumi?
Wewe kamoja tu jamani unanitoa roho?
Hahaaaaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Bibie msalimie baba mpe hongera.Najua baba yako ni Simba wewe tu umepotea njia.
Pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…