Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Timu inafungwa na kupoteza pointi zote tatu na bado mashabiki wa timu ya waliofungwa wanaridhika??? Basi kwa kweli Simba hawana mpinzani. Derby ni Derby tu ukifungwa lazima uumie.. unafurahia kufungwa? Basi Yanga washabiki wake wameridhika hadi kufungwa. Hakuna tena upinzani wa jadi.[/QUOT.
Hivi tulaumu nini kwa mfano? Kwamba tumecheza vibaya sana au? Yani hapa nilipo nashushia k- vant yangu kwa raha zangu watoto wamejitaidi tena sana nina hakika ata wewe ilo unalifahamu sema unataka kujitoa ufahamu.
 
Aliniuliza mtoto wa darasa la awali
"HIVI SIMBA WALIWAHI KUIKIMBIA YANGA UWANJANI NA HAWAKURUDI KIPINDI CHA PILI?"
NILIMJIBU; NDIYO NA HISTORIA HIYO HAWATAIVUNJA.
Bora hao wanaume walijaribu angalau kipindi kimoja,na vipi wewe uliekimbia kuingiza timu kabisa uwanjani kwenye Kombe la Kagame?
 
Timu inafungwa na kupoteza pointi zote tatu na bado mashabiki wa timu ya waliofungwa wanaridhika??? Basi kwa kweli Simba hawana mpinzani. Derby ni Derby tu ukifungwa lazima uumie.. unafurahia kufungwa? Basi Yanga washabiki wake wameridhika hadi kufungwa. Hakuna tena upinzani wa jadi.
Hivi ulitaka tukae chini tulie namuombe sana tuendelee na ukata wetu vinginevyo ndo tupate pesa kwa kocha huyu ata wale waliowapiga mikono miwili kwa mechi mbili wakija kwetu tutawapiga dozen nje ndani.
 
Wakuu kuna jambo limenipa huzuni.Kuna shabiki wa Yanga aliweka rehani mke akiamini Yanga atashinda. Ameomba msamaha kwa wanasimba wote na kukiri kwamba Simba sio level yao.
Kama kuna mtu anamfahamu Justin Kessy mshabiki wa Simba aliyeshinda hiyo bet amsamehe huyo shabiki wa Yanga.
Ipo clip kwa kweli inatia huruma jamaa analia kama mtoto.
Jinga hilo mke unamfananisha na vyuraaa!muache aliwee mi km mke naondoka fastaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza niwapongeze watani kwa ushindi waleo ila pia nikili kwamba kama shabiki wa yanga nisingeweza kusema kwamba tutafungwa japo moyoni nilikuwa nafahamu tutafungwa kuanzia goli tatu nakuendelea.

Nipende kuwapongeza wachezaji na benchi la ufundi la timu yangu kwa kuipigania nembo ya timu kwa moyo mkubwa sana licha ya magumu tunayopitia kama timu, niwaombe mashabiki wenzangu wa yanga tuendelee kuchangia timu yetu kwa moyo mkunjufu kabisa, nivile tu uwezo wa kipesa sina kwa kiasi hicho ila ningekuwa nazo zakutosha nafikili leo ningewapa posho ya kutosha achilia mbali matokeo ya leo. Mungu ibariki yanga mungu tubariki wanayanga.
Simba MBOVU ya kina kichuya enzi hizo na kina ajibu ilikuwa inaifunga vizuri sana yanga ile ya kuchuana na al ahly ya kina kavumbagu. Tena hata tukiwa pungufu tulikuwa tunachapa tu, sasa wewe unajivuni kupigwa kimoja, kweli yanga mko vizuri.
 
Wanasheria wa Yanga wanaandaa rufaa kupinga ushindi wa Simba Feb 16, 2019.

Nadhani taratibu haziruhusu mchezaji mmoja kufunga goli moja kwa timu (Al Ahly) na kikundi chake cha ngoma (Yanga) kwa kutumia uwanja ule ule, wiki ile ile, mwezi ule ule, Mwaka ule ule, kipindi kile kile cha pili na kwenye goli lile lile.

Hii ni kama goli moja kuhesabika mara mbili, sheria haziruhusu. Haiwezekani goli moja lihesabike mara mbili kimataifa (al ahly) na ligi ya ndani (yanga).
 
Medi kagereee...Medi kagereee!!Medi kagereee!mwenzio niliblock mtu siku Simba ilivyofungwa tanooo!!!maana najua nisingelalaa!!wala kula kwa raha!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaona sasa mimi nilivyo muungwana wala sikukutania ulivyopigwa kumi?
Wewe kamoja tu jamani unanitoa roho?
Hahaaaaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Zahera mwenyewe anakubali,anasema anajua angefungwa tu Simba inacheza mpira mkubwa. Wewe unakomaa tu
Lakini hatii mpira kwapani. Ndiyo hoja. Kufungwa siyo issue, lazima itokee. Kwenye ligi tumekutana mara 102!
 
Unaona sasa mimi nilivyo muungwana wala sikukutania ulivyopigwa kumi?
Wewe kamoja tu jamani unanitoa roho?
Hahaaaaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Bibie msalimie baba mpe hongera.Najua baba yako ni Simba wewe tu umepotea njia.
Pole.
 
Back
Top Bottom