Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Jamaa aliyebeti mke.Imebidi alie tu.Jamani muhurumieni. Kichapo achapwe na mke mmchukulie?
Fanya huruma Justin Kessy.Sidhani atarudia ujinga huo tena.
Hahanaaa[emoji16][emoji16][emoji16]yule kaka ni jinga sana atiii!!!!Mimi kama mke naenda tu kwa jastini Anile na sirudi tena kwakee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameanza mchezo wa leo kwa kiwewe na kupania sana kwa kuelewa simba hawaiwezi maana ni klabu kubwa na yenye wachezaji bora.
Picha linaanza nahodha wa Yanga Ibrahim Ajibu anasahau anapaswa kuwatambulisha wachezaji kwa wageni au anatambulishwa yeye.
Kufikia kwa beki wao Kelvin Yondani anakataa kumpa mkono Ajibu sijui bifu la kuvuliwa kitamba cha unahodha au aliona dogo badala ya kutambulisha yeye ndio anatupa mkono wakati tulikuwa wote leo....wat fck ths
First half time ya kwanza dhamira yao kubwa ni kudroo mechi yao leo kwa kubana mashambulizi ya simba na kuzuia kabisa wasifunge maana wao hayo ni matokeo bora sana kwao leo hii.
Second half time kocha anaondoa nguvu kazi yake na watu muhimu kama Ajibu na Tambwe ambao wangemsaidia sana japo Tambwe alitaka kufunga kwa mkono...haahaaah...
Mwishoe mnyama anafanya yake baada ya Yanga kufunguka na kushambulia Meggie Kagere anaweka kiniani goal la ushindi.
Kituko sana Kocha kwenye mahojiano na waandishi wa habari analia eeeh ndio analia kwani ndo kaanza kufungwa leo au yule mganga amekula pesa bure....ahahhahahaha
Ndio utani wa jadi

Ila Yanga uvumilivu mlionao na timu yenu mngehamishia kwenye ndoa zenu talaka zingepungua Tanzania.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jirani yangu anashangaa tumewafunga goli kimoko. Nikamjibu ukiwa unakwenda kuwinda swala huwezi kutumia risasi ya tembo.
Ukiwa unaoga mtoni akatua mbu kwenye pumbu huwezi kumuua kwa kumpiga kwa nguvu bali utamtafutia njia mbadala ya kumwondoa.
Goli la Kagere ndio njia mbadala ya kuondoa adha ya kupaki basi.
Kimoko chali.
 
Mimi huwa napenda wanavyolalama inaongeza utamu. Sijui kilio cha mahaba au povu la uchungu?
Kimoko.
 
Hii team wanajiita team ya wananchi wakati katika wananchi 10 wanane wanashabikia mnyama
 
Reactions: Tui
Mashabiki wa Yanga kuweni na shukrani kidogo. Badala ya kushukuru mmenusurika goli alf, nyie bado mwalalama
 
Oyeeeeeeeeeeeeee
 
Anunue na nini?Heri achangie omba omba wenzake. Marashi chupa 15 ni maji marefu kwa huyo mropokaji aliyetoa hiyo ahadi.
Yupo level moja na aliyebet mke.Anabisha anunue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…