Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

MKIA FC MMESHINDA BASI IMEKUWA TABU
Mkia umeingia. Naona unajipinda.Mara ya mwisho chura kushinda dhidi ya Simba ni lini?Mkitoa sare mnafanya maandamano ya kusheherekea!!!!
 
Kama ulikuwepo. [emoji12][emoji12][emoji12]

Hahahaaaa. Kuna muda nilikuja bana kisha ndio nikatoka.

HONGERENI. [emoji122][emoji122].
Jumamosi tumekutafuta bila mafanikio, ila nikaelewa kwamba umeme utakuwa umekatika huko kwenu.
 
Kama ulikuwepo. [emoji12][emoji12][emoji12]

Hahahaaaa. Kuna muda nilikuja bana kisha ndio nikatoka.

HONGERENI. [emoji122][emoji122].

Asante Mtani,

Wanasema tunapokezana, enzi zile mlitusumbua sana. Nakumbuka Jeri Muro na jina la Wakimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…