Barn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 2,734
- 4,042
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Go fvck youself bitch!
Moja linatosha, 3 points kibindoni.
Kazi imebaki kwenye viporo.
Derby hiyo ujue.Kwa kweli kwa timu zote mbili hamna timu iliyocheza mpira wa ushindani, wote wanacheza kama wapo kwenye bonanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mchambuzi atakua dauda[QUOTE="MSAGA SUMU.
Yanga rekodi inambeba na wachambuzi wengi wanampa uwezekano mkubwa wa kushinda katika mchezo wa leo huku ikizingatiwa tangu kocha Mwinyi Zahera aje Yanga haijawahi kupoteza mchezo wowote.
WAPI MSAGA SUMU
Kiburi kimewaponza......
Mihemuko ya kuwashangilia waarabu itawaisha.
Inasikitisha sana...
Mnyama mbaya sanaCongo 5
Misri 5
Taifa 1
Taifa 1
Mpaka sasa sisi 10-2 Simba.