Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Hali za vyura wakati huu
51732407_2070565576369747_254117362180030464_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[QUOTE="MSAGA SUMU.

Yanga rekodi inambeba na wachambuzi wengi wanampa uwezekano mkubwa wa kushinda katika mchezo wa leo huku ikizingatiwa tangu kocha Mwinyi Zahera aje Yanga haijawahi kupoteza mchezo wowote.

WAPI MSAGA SUMU
Huyu mchambuzi atakua dauda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom