Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Ona aibu kidogo kuhusu Mwarabu. Kwake kawafirimba goli tano.
Pili, unajua Yanga name Simba zimekutana nara ngapi TPL. Leo ilikuwa ya 102. Nani kafirimbwa sana?
Hahaaah tulia wewe...habari za waarabu zimetoka wapi tena...nyie ndo waarab???..mshafirimbwa kimoja tulieni bado mbichi hiyo hata bado haijaoshwa
 
Wakuu kuna jambo limenipa huzuni.Kuna shabiki wa Yanga aliweka rehani mke akiamini Yanga atashinda. Ameomba msamaha kwa wanasimba wote na kukiri kwamba Simba sio level yao.
Kama kuna mtu anamfahamu Justin Kessy mshabiki wa Simba aliyeshinda hiyo bet amsamehe huyo shabiki wa Yanga.
Ipo clip kwa kweli inatia huruma jamaa analia kama mtoto.
 
Tupia clip mkuu
 
Timu inafungwa na kupoteza pointi zote tatu na bado mashabiki wa timu ya waliofungwa wanaridhika??? Basi kwa kweli Simba hawana mpinzani. Derby ni Derby tu ukifungwa lazima uumie.. unafurahia kufungwa? Basi Yanga washabiki wake wameridhika hadi kufungwa. Hakuna tena upinzani wa jadi.
 
Aliniuliza mtoto wa darasa la awali
"HIVI SIMBA WALIWAHI KUIKIMBIA YANGA UWANJANI NA HAWAKURUDI KIPINDI CHA PILI?"
NILIMJIBU; NDIYO NA HISTORIA HIYO HAWATAIVUNJA.
 
Pesa bosi...
Let me tell u something bro ongezeni dua tuendelee kuwa na ukame wa pesa but trust me kwa kocha huyu ndo tuzishike pesa mkononi fc vita na wale warabu ambao kwa mechi mbili wamewapika viganja viwili kwetu watakuwa wanakula dozen.
 
Aliniuliza mtoto wa darasa la awali
"HIVI SIMBA WALIWAHI KUIKIMBIA YANGA UWANJANI NA HAWAKURUDI KIPINDI CHA PILI?"
NILIMJIBU; NDIYO NA HISTORIA HIYO HAWATAIVUNJA.
enzi wachezaji wanavaa chupi uwanjani...!!
 
Back
Top Bottom